Twende Mikumi National Parks | 01/04/2017

Conrad84

Senior Member
Feb 14, 2016
104
43
Habari,

Twende Pamoja Mikumi National Parks (Kwenda 01/04/2017 na Kurudi 02/04/2017) kwa gharama ya Tshs. 80,000/= tu kwa Single na 140,000/= kwa couples. Gharama hii imejumuhisha gharama za kwenda na kurudi, Lodge & Breakfast, Entrance and Guide fee.

Kwa kufanya Booking tupigie simu 0672514440 au 0657028603 Wahi nafasi ni chache!

WHATSAPP GROUP - SPT & Adventure
Twende Mikumi 80,000/= tu

IMG-20170321-WA0023.jpg
 
Safi sana mkuu, ungeweka na viwango vya kuingia mbugani na gharama ya atakae watembeza na gharama ya kutoka morogoro mjini au pale msamvu, ili mtu ajue anatakiwa kuwa na bajeti ya Tshs ngapi?
 
View attachment 484323
Tarehe hiyo ni fool's Day customers beware.kila abiria achunge mfuko wake.hiyo siku ni siku ya wajinga.ukiliwa usije piga yowe humu jamii forms
 
Safi sana mkuu, ungeweka na viwango vya kuingia mbugani na gharama ya atakae watembeza na gharama ya kutoka morogoro mjini au pale msamvu, ili mtu ajue anatakiwa kuwa na bajeti ya Tshs ngapi?
Gharama ya ziada kwako ni lunch na diner tu
 
Sio wakati mzuri kwenda mikumi national parks kipindi hiki ikiwa.lengo lako ni kuona wanyama. Ila.kama.lengo ni kuona.manyasi na uoto.mwingine wa asili ukiwa katika kijani kibichi huu ndo wakati muafaka
 
Utachagua ulale na Fisi au Simba..!!

Watu wengine mnakera Sana, swali gani Hilo....!!

Why so serious ?(in jokers voice)
Mkuu usitarajie kila mtu kila wakati wawe serious na uptight,samtaims unanogesha na utani kidogo alimradi usivuke mipaka,vichwa vyenyewe vishawaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom