hizi bado zipo nahitaji kidogo kwa ajaili ya mabanda ya kukuZipo size tofauti tofauti kama Ifuatavyo:-
Unene wake ni 2mm urefu mita 15 bei ni 75,000/=
Unene 2.5mm urefu mita 15 bei 95,000/=
Unene 3mm urefu mita 15 bei 150,000/= hii size ni Special order....kwan haina Wateja wengi,Umbari kutoka nguzo moja had I nyingine ni Mita 5 karibu......
ni ndani ya ukuta naweka partitions kati ya makazi na mabanda ya kuku maana nina mbwa wakali wasije kula kukuHilo eneo kula ulinzi unalotaka kujenga? nakuuliza maana huku nilipo kuna vibaka wakikuta uzio kama huo wanakata wanaenda kujengea mabanda ya kuku, unakuta nguzo tu ndio zimesimama
DahHilo eneo kula ulinzi unalotaka kujenga? nakuuliza maana huku nilipo kuna vibaka wakikuta uzio kama huo wanakata wanaenda kujengea mabanda ya kuku, unakuta nguzo tu ndio zimesimama
Di
Naomba kujua Kwa Kiwanja cha 40kwa40 zinaingia ngapi??Zipo size tofauti tofauti kama Ifuatavyo:-
Unene wake ni 2mm urefu mita 15 bei ni 75,000/=
Unene 2.5mm urefu mita 15 bei 95,000/=
Unene 3mm urefu mita 15 bei 150,000/= hii size ni Special order....kwan haina Wateja wengi,Umbari kutoka nguzo moja had I nyingine ni Mita 5 karibu......
msonganzilaNaomba kujua Kwa Kiwanja cha 40kwa40 zinaingia ngapi??
Gracezongo
Gracezongo
40*40=1,600sqm
40*4=160m
Roller moja ina urefu 15m
160m ÷ 15m = 10.6 rollers/11 rollers
Roller moja ni 75,000/- ya bei ya chini hivyo ukiweka mahitaji yako ya 10 or 11 rollers utahitaji kugharamika 750,000/- mpaka 800,000/- na zaidi.
Gharama zingine zina weza ongezeka kama bei ya sasa, usafirishaji, bei ya eneo ulipo etc
Cc Maxence MeloTulishaomba jukwaa la ujenzi lakini ma boss wetu walishakataa
Jukwaa Hilo lipo.