Recent content by chipoteka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio chakula cha Wafungwa wanaotaka kunyongwa

    Sio kuna picha hapo jamaa kaweka?Au ndio zile simu za mwezi wa 06??
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio chakula cha Wafungwa wanaotaka kunyongwa

    Daaaah!!!Huyo jamaa anaitwa John Wayne Gacy hajataka kuzuga Yeye kaamua kuondoka akiwa ameshiba kabisaaaaa....Naona kitu kimejaa pomoni,paja za kuku na strawberry za kushushia...Sasa sijui chakula kilienda kufanya nini mwilini? Huyo mwingine hiyo sijui ndio pipi au?? Mtoa maada swali lako gumu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

    Wala hakwepeshi kwenye tundu....yaani huyu ndio wale ukienda kutongoza unajizungusha zungusha,anakusaidia mwenyewe kujitongoza Anakwambia kabisa yaani mimi ili nikubali fanya hivi na hivi,hapo ndio utanipata!!Halafu utasikia anasema we usijizungushe sanaaa,we sema tu unanitaka lini na wapi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

    FAIZHAD mimi mwenyewe nimejikuta nakiangalia tu Kipindi,maana toka jana niliona "matangazo" yake kwamba kitaonyeshwa leo Na nilivutika baada ya kuona kipande kinasema kuwa "Tulikutana Club" nikataka kujuwa walikutana club na Sugu?kumbe si Sugu ila jamaa mwingine Ila huyu demu sio...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Duuuuh....Tumsifu Yesu Kristo Padre Ngaliba Dume....Upo deep mkuu!!maneno kama majiundo,kustahikishwa nk ni maneno ya Altareni haya..Umekamua kwelikweli
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

    Duuh....Nimecheka sana asee,kuna watu wana vitukoo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli safisha "uozo" huu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

    Pdidy nimerudia sasa ndio nimeelewa,hapo kumbe madudu ni mengiii...Hope JPM na Majaliwa Kassimu wameupata ujumbe wenu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mkuu wa mkoa na takwimu zisizo za kweli

    "Watumishi hewa 29 Kigoma Manispaa ni HEWA. Leo tulikuwa na kikao cha Kamati ya Fedha na Uongozi cha Manispaa ya Kigoma Ujiji. Taarifa ya watumishi hewa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Kigoma sio habari ya kweli. Watumishi wanaoitwa hewa ni watumishi walio masomoni nk. Kati ya hao 26 ni Walimu wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli safisha "uozo" huu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

    Duuh...hata sijaelewa ulichoandika
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli safisha "uozo" huu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

    Mkuu Pdidy haya ndio maeneo yako,hizi habari ni kweli kama mleta mada?hiyo ndege ya usiku iliyoacha kuja ni ipi?Kama huyo Mchina ndio agent wa wahamiaji haramu ina maana uwanja hauna watu wa Usalama wa Taifa?Na huyo Manager commercial ni wa kampuni gani?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tulichojifunza kutoka kwa watu wa Vietnam

    Hii nchi mpaka watu waje wafuatwe huko huko juu na kutandikwa bakora dadeki.....majitu yenye dhamna ndio yanatutia umasikini
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Uuzaji wa chakula na matunda yaliyo wazi hauzuiliki?

    Dr JJ Mwaka alisema HKigwangalla alikurupuka,hajui sheria za tiba mbadala au alishauliwa vibaya,amemsamehe sbb ya ugeni wake wa kazi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Uuzaji wa chakula na matunda yaliyo wazi hauzuiliki?

    tena wameweka tu bila hata kufunika...inzi hapo hapo dampo....hatari sanaa,mabwana afya sijui wapo wapi
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tujue kwanini Wahehe wepesi wa hasira na kujinyonga?

    upo sahihi mkuu@geraldkowero,japo uwasilishaji na story yenyewe vinachekesha sana
Back
Top Bottom