Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Zitto amemkosoa mkuu wa mkoa kwa kutoa takwimu za uongo zinazohusiana na watumishi hewa,Zitto ameyasema hayo baada ya kutoka kwenye kikao cha kamati ya mkoa na kugundua watumishi walioitwa hewa ambao ni 29 kati yao 26 wako masomoni.
My take: Wakuu wa mikoa wasifanye mambo kwa mihemko au kujipendekeza kwa Rais ni hatari sana.
My take: Wakuu wa mikoa wasifanye mambo kwa mihemko au kujipendekeza kwa Rais ni hatari sana.