Habari wanajukwaa la elimu! Naomba ushauri kumtoa mtoto kwenye Shule za kawaida private akiwa ameshafaulu mtihani wake wa kidato cha 2, nimpeleke QT akaendelee na kidato cha 3 he inawezekana? Na kama ndio atasajiliwa upya na au itabidi afanye tena mtihani wake kidato cha ,2 huko QT?
Nadhani huu mtazamo wako ungewapa viongozi was yanga kabla ya kushiriki mashindano ingependeza zaidi ya halo mimi naona ni majungu tu baada ya kutolewa je ungeshinda ungetoa ushauri huo?
Napatikana muda wote kwa namba 0763107900 labda itakuwa network tu nipo mkundi minara 4 ni ndani ya manispaa sana jf wa Moro nawakaribisha hata wa maeneo mengine karibuni.
Sinajinasasa : nimeshajib u Mara nyingi ukifuatilia huu Uzi toka umeanza nakushauri tuonane nipo mkundi minara 4 ningekuona muungwana sana kuliko kunishutumu. Na mawasiliano yapo
Wasiwasi wangu cjui kama ndoa yako itadumu maana waswahili walishasema bandu.......! Ungeendelea na msimamo wako ingependeza itokee mkeo afanye hivyo huko pembeni utajisikiaje
Pole sana mkuu hii ni fedhea kubwa sana yaani mtu na mamaake wanasagana bado mwanamke mwenzangu anaonesha kiburi angejaribu hata kuomba msamaha kwani hajui kama wewe ni mumewe! Hajafanya vizuri jitahidi vumilia tu kutengana mtawapa shida watoto ndo mwanzo wa chokoraa mtaani
Kama yeye alivyokuwa muwazi kwako kwa kukwambia historia kabla ya kukutana na wewe jitahidi nawe uwe muwazi kwake kwa kila kitu ili mfikie malengo naamini hakuna mkamilifu chini ya jua inawezekana ikawa afadhali ya Huyo kuliko utakae mtafuta tena.
Nitakuwa sina maelezo zaidi ya hapo zaidi sana atakae kuwa na nia ya kunisaidia atanipigia simu kwa Maelezo ya ziada kwani namba nilishaiweka na mm siyo tapeli kama navyofikiriwa ila naheshimu mawazo ya kila Mmoja na ushauri niliopewa kuna walionielewa na wasionielewa niwashukuru tu wote haya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.