Mchumba nimempata ila...!!!

Mchumba nimempata ila...!!!

weka kapicha na namba zake mkuu ili tuone tunakusaidiaje...!!
 
Kama yeye alivyokuwa muwazi kwako kwa kukwambia historia kabla ya kukutana na wewe jitahidi nawe uwe muwazi kwake kwa kila kitu ili mfikie malengo naamini hakuna mkamilifu chini ya jua inawezekana ikawa afadhali ya Huyo kuliko utakae mtafuta tena.
 
Muoe tu, maana ametubu alafu muwazi sna wanawake wa siku hz wengi wao sio wakweli.
 
Usibaki na historia ya zamani yamepita na sasa amekua kiumbe kipya.....hawezi rudia oa tuu kaka.
 
owa lakini jitahidi uwe unalenga kwenye papuchi ukikosea utajikuta mtaa wa pili bila matarajio
 
Back
Top Bottom