Lwandamila OUT Plujin in

Yanga haikuwa na sababu ya kumtowa Hans Prujin. wakati timu inafanya vizuri tu. Timu haiwezi kuwa sawa. Lwandamila sioni kama ni kocha mwenye furaha pale Yanga,Tangu aingie hajawahi kuongea.

Macha wa Yanga wa anze kuwatengeneza wachezaji wa kupiga mapenati. Naona ni kama wanachagua tu .
Yanga niwabovu sana katika upigaji wa penati.
 
Mm niliona tangu mechi na wacomoro hapa dar, timu haikuwa vema.
Tatizo la kochi ni wachezaji wengi aliowakuta sio pendekezo na hakupenda kuwa nao, ila ndo ivo mda wa usajili ulikuwa sio...pia nadhani hakupewa nafasi kubwa ya kusajili zsidi ya kuwanoa waliopo, ambao inawezekana mpira wao umeisha tayari, umefikia tamati....you can't teach an old dog new techniques!
 
Back
Top Bottom