Recent content by chimwaga

  1. C

    Kiwanja kina uzwa mbezi beach tangibovu bei nzuri

    Wadau kiwanja kina uzwa Mbezi beach Tangi bovu karibu na station kuu ya vodacom na Ofisi ya Baraza la mtihani. ukubwa ni mita 25 kila upande, kiwanja kina fensi ya ukuta kozi 4, umeme upo, hakija pimwa ila ni eneo ambalo lime kuwa surveyed kwa aijili ya makazi. Price 12 kwa watakao onesha...
  2. C

  3. C

    Wapi nitapata vifaa vya bakery?

    Wa dau habari za kazi?? Samahani kwa usumbufu naombeni mni elekeze wapi na weza pata vi faa or mashine zur za bekari ya mikate kulingana na ugumu wa maisha nime amua kuwa mjasi. Na tu mai through jamii nita pata information za kutosha na za uhakika. Asanteni
  4. C

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Mkuu mbona kama una toa habari nusu nusu??
  5. C

    Looking for male partner

    Mmmmmmh m na pita nita rudi tena
  6. C

    Wana jamvini.

    Ndugu wa pendwa ya pita miaka miwili nime kuwa mfuasi wa hii site kwa kusoma post mbalimbali zenye mshiko kwa kweli mimi binafsi nime jifunza vita vingi sana na nime gundua ama kweli vijana wengi wa ki tanzania tuna jua kujenga hoja. Nikiwa kama mwana harakati na mpenda ma endeleo na kijana...
  7. C

    Haijapata kutokea---- Thomas Nyimbo avunja ngome ya CCM, aweka rekodi

    Kaka unacho ki sema una uhakika?? Una jua kipindi ambapo yupo madarakani ka fanya ma ngapi?? Hebu wa ulize watu wa ilembula, makambako, wanging'ombe n.k jinsi wanavyo mkumbuka na ina onekana wewe ni gamba coz kama mwana ma pinduzi sudhani kama unge mpinga nyimbo coz mbaka sasa hivi ana tumia...
  8. C

  9. C

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Amazing! Nafikiri kuna jambo ina bidi tuji funze wana jamvini we zangu.
  10. C

    RIP Rahma Swai - Miss Mtwara 2011/12

    Habari za uhakika ni kwamba alikuwa ana sumbuliwa na tumbo ambalo lili sababishwa na mimba kutunga nje ya uzazi hivyo ku sababisha internal breed but kutokana na huduma mbovu za Za ma hospitali zetu wali shindwa ku gundua mapema na kumpa huduma sahihi ni aibu sana baada ya miaka 50 ya uhuru...
  11. C

    Nampenda sana Mhe,Samwel Sitta

    mi na shindwa kumu elewa sitta coz ana tembea na miavuli mi wili mmoja wa kui kosoa serikari ambayo ana itumikia na mwingine kui unga mkono selikali so m namu ona kama ki geu geu na mwenye tamaa ya madaraka angalia, mfano juzi juzi wakati ana changia bajate ali mkejeri el juu ya ma a muzi magumu...
  12. C

    Unavyoweza kunufaika kwa kufanya tendo la ndoa

    mmmmmh ita bidi tu chunguze kama kweli then tuki pata u hakika ita bidi tu boreshe zaidi na zaidi
  13. C

    Kumuelezea mpenzi wako historia yako ya kimapenzi kwa ulipotoka ni sawa?

    mimi na fikiri ni bora mzungumze in detail past zenu coz through this kila mtu ata kuwa awere na mwenzake yukoje ana penda nn ili muweze kuji funza ku pitia makosa yenu ya nyuma ni hayo tu ila kiu kweli some time ina umiza
  14. C

    Katika vita hii hakuna atakayepona ccm

    Arafu isitoshe wana igunga now wata kuwa na imani na kambi ya upinzani coz ndio walio sababisha Rostam aji uzuru nyasifa zote so through this imani kwa upizani ime ongezeka. kwa kweli kazi ime anza.
  15. C

    Dr SLAA: Wana TABORA mtuunge mkono

    ndio manake cdm tuna twanga kote kote kama vp tuji pange tu chukue jimbo au co wa dau?
Back
Top Bottom