Wapi nitapata vifaa vya bakery? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nitapata vifaa vya bakery?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chimwaga, Jan 11, 2012.

 1. c

  chimwaga Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wa dau habari za kazi?? Samahani kwa usumbufu naombeni mni elekeze wapi na weza pata vi faa or mashine zur za bekari ya mikate kulingana na ugumu wa maisha nime amua kuwa mjasi. Na tu mai through jamii nita pata information za kutosha na za uhakika. Asanteni
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nenda SIDO au VETA utapata!!!
   
 3. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Jaman mwnzenu nataka kufungua bakery hapa dar es salaam, ntapata wapi mashine za ukweli zinazotoa mikate quality.. Na pia ni wapi(location) bakery hii itafaa kuwepo?? Yan ni wapi penye soko zuri?? Naaomb ushaauri wanadaslaam jaman.. Najua co jukwaa appropriate.. Lakin naomba msaada wajamen...
   
 4. k

  kaeso JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...subiri waje:lol::lol:
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungeipeleka kule business ungesaidiwa mara moja
   
 6. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kuna jukwaa linaitwa business hapa JF??? Let me chek...
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Call 0754373344 atakuelekeza wapi utapata vifaa vya bakery....opp wimzara sayansi na technologia jamhuri street
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  MKUU HONGERA SANA KWA KUWA MJASIRIAMALI,

  - MIMI NIKASHAURI MAMBO YA FUATAYO,
  Mkuu Biashara si lele mama, na unapotaka kuanza Biashara ni lazima ujipange vya kutosha mkuu, Nasikitika sana kwamba katika miaka ya leo bado tu tumia strategies za miaka ya 80 kurudi nyuma kufanya biashara.

  MKUU HICHO UNACHO TAKA KUANZISHA NI KIWANDA, OK ILA MIMI NAZAI KUNA MAMBO HUJAYAFANYA. Mfano

  1. Umeisha fanya fesibility study ya huo mradi wako?

  2. Vipi business palning?

  3. HUKU KWENYE BUSINESS PLANING KUNA VITU KAMA
  1. masoko yako, utamuuzia nani?

  2. Utatumia mbinu gani kuuza?

  3. Vipi washindani wako? Unawafahamu wote? Utapambana nao vipi? Umeisha jua udhaifu wao? Je uimara wao unaufahamu?

  4. Ni kwa nini watu wanunue mikate yako na si ya wengine hao?

  5. Kuna kitu gani cha ziada kwenye mikate yako kitakacho vutia wateja?

  6. Vipi suppulaya? Ni nani takuwa unakusambazia raw materio?

  7 Vipi wafanya kazi? umeisha anza kuwandaa?

  8. Vipi mtaji?

  9. Vipi matangazo?

  9 Vipi maswala ya regstration na kupewa vyeti na TBS pamoja na TFDA?

  10. Vipi location? iko jirani na raw materio zilipo? au iko jirani na consumer wako?

  MKUU NI MAKOSA KABISA KUANZA KUULIZIA BAKERY WAKATI HATA LOCATION HUJAJUA UTAWEKA WAPI.

  Mkuu inabidi ujipange sana ili ukianza usije kushindwa, usianze kwa kutafuta bakery wakati hujaandaa business plan. NA UNGEKUWA UMEISHA ANDAA MPANGO KAZI WAKO NI NA UHAKIKA USINGEKUJA KUTUULIZA HUMU,
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...fikiria kwanini watu wanunue mikate yako badala ya chapati, vitumbua, maandazi etc...
  fikiria bei utayouza mkate mmoja compared na chapati, vitumbua, maandazi etc..
  kisha utajua location ya hiyo bakery yako, na duka/'soko' utakouzia mikate yako.

  ukishajua hayo juu;
  identify mkate unaotaka kuutengeneza, jinsi ya kuuchoma (bake) na uuzwaji wake.
  Ukishajua hayo, sasa anza kufikiria mashine unayotaka kukandia hiyo mikate kutokana na
  mahitaji ya soko.

  ...kwa sie tuloishi unguja, mkate wa boflo ni maarufu sana kwa wakaazi wa pale...
  kwa uswahilini, biashara ya mikate ya boflo itakufaa...mwanzo mgumu, wakishaizoea utafurahi.


   
 10. b

  bagamoyo1 Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naweza kukupatia mashine za bakery mpya , jee unataka ya uwezo wa kg nagapi kwa ajilia ya kuanda oven size ya mikate migapi , tunazo full ,semi automatic au manual call me +47 96887028
   
Loading...