RIP Rahma Swai - Miss Mtwara 2011/12

Si nasikia alikuwa anaumwa Tumbo, yamekuwa hayo tena. Anyway R.I.P dada yetu!
 
Habari za uhakika ni kwamba alikuwa ana sumbuliwa na tumbo ambalo lili sababishwa na mimba kutunga nje ya uzazi hivyo ku sababisha internal breed but kutokana na huduma mbovu za
Za ma hospitali zetu wali shindwa ku gundua mapema na kumpa huduma sahihi ni aibu sana baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna huduma mbovu za uzazi, hii Tanzania yetu duh. Na. Wakilisha
 
Mkuu umechanganya huyu ni:

Pendo Daniel (22)
Elimu: Kidato cha 4
Miss Morogoro 5

Mkuu kwahiyo jamaa kamzika mtu..............? lol!! Kujifanya unamjua mtu wakati hata sura yake uifahamu madhara yake ndio haya...
 
Habari nimetumiwa na tigo punde, chanzo cha kifo chake hakijajulikana.

TOA HUU UHARO WAKO..... HAKUNA MISS MTWARA ANAITWA JINA LA "SWAI" huyu ni kahaba flan la kichaga
.... alaf nyie wachaga mkifka mtwara punguzen UKAHABA.
 
TOA HUU UHARO WAKO..... HAKUNA MISS MTWARA ANAITWA JINA LA "SWAI" huyu ni kahaba flan la kichaga
.... alaf nyie wachaga mkifka mtwara punguzen UKAHABA.

Sio ukahaba, kama pesa wanayo na wanajua kufinya vizuri, si wadada wanakuja wenyewe tu. Unafinywa vizuri na kash unapata, raha hiyo utoe wapi hapa TZ yetu.
 
Back
Top Bottom