Naitwa matumbo bin matumbo,ni mzaramo niliebadili kabila jana saa 7 mchana kuwa mnyamwezi.. Napenda kujitokeza mbele yenu wana jamvi kutangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la igunga kwa tiketi ya chama cha magamba..
Ni msomi niliyebobea hasa kwenye sanaa ya maigizo ,nna shaada ya kwanza toka royal colege-kariakoo/msmbaz,pia digrii ya uzamivu ya cookery toka kingston online international university-jamaica,..pia nna p.h.d ya siasa toka muslim university of mbumbumbus-moro..najua wengi sasa awalali wakitokwa udenda na nafas hii ila nawaomba wasahau kwani nimeshaaidiwa na mfalme wa igunga rost tamu kumwakilisha/kumrithi..nitarudi kumwaga sera,ngoja kwanza nikameze pilton km waziri tyson ili nipate nguvu ..