Recent content by CHIBE BOYS

  1. C

    JamiiForums Tanzania Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Nitalifanyia kaz mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Dr Zaganza,likes nyingi kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Asante sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Agent business ni biashara ya muda na si biashara endelevu kabisa

    Wanajukwaa, Heri ya pasaka! Poleni na magumu ya COVID-19. BAADA YA SALAMU naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mwenzenu baada ya kuona maisha yamekuwa magumu nikaota ndoto ambayo nataka iwe kweli. Wazo nililonalo ni kutafuta fremu ya biashara hapa mjini, nikishaipata...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Habari za leo wadau, Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha Microfinance. Naomba kujua mtaji kianzio, namna zinavyofanya kazi, aina ya wateja na mengineyo ambayo sijayataja hapa. NAOMBA KUWASILISHA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wamesahaulika kwenye Siasa: Sadifa, Nape, January, Mwigulu, Kafulila na Mtatiro

    SADIFA YUPO UDOM ANASOMA MASTERS Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

    Habar za leo jukwaa Naomba kutoa maoni yangu juu ya staili ya uchezaji wa ndugu yetu SAMMATA Jinsi nilivyomuona jamaa, kama vile anacheza kifaza zaidi, hii si mara ya kwanza kumuona akicheza vile ,maana hata timu ya taifa yaan TAIFA STARS, jamaa amekuwa akilalamikiwa sana kwamba hajitumi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

    Akina Ayatola mbona mpo wengi sana humu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

    Habari za leo wanajukwaa Nijikite moja kwa moja kwenye hoja, haya ni maoni yangu binafsi na ushauri binafsi. Ningekuwa kiongozi mkuu wa Iran, ningeomba tukae meza ya mazungumzo na kiongozi wa USA ili kuepusha uwezekano wa kutokea kwa vita. Nasema hivi nikiwa na sababu kwamba kama leo hii USA...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wakija naomba unitag Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Minada ya hadhara ina siri gani?

    Kaz kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    JamiiForums Tanzania Minada ya hadhara ina siri gani?

    Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

    Niruhusu nikufate pm Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

    Umefikia mtaa gan kesho nikutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni mtoto wa mama, kula kulala, nina mika 40 na ninataka kuoa

    TID ni mwenzangu pia, Toto la mama. Najuwa fika huu uzi umefungua kwa ajili ya TID maana umaliziaji wake unamlenga yeye Ebu tuambie,kwan TID ni mtoto wa mama??? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom