Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

CHIBE BOYS

Member
Apr 20, 2019
91
118
Habari za leo wanajukwaa

Nijikite moja kwa moja kwenye hoja, haya ni maoni yangu binafsi na ushauri binafsi.

Ningekuwa kiongozi mkuu wa Iran, ningeomba tukae meza ya mazungumzo na kiongozi wa USA ili kuepusha uwezekano wa kutokea kwa vita. Nasema hivi nikiwa na sababu kwamba kama leo hii USA anaamua kumchapa Muiran, nategemea yaliyotokea Iraq na Libya yatatokea pia kwa Iran.

Iran afanye mazingumzo na USA ili kupunguza tension ya kutokea kwa vita,halafu kimya kimya Iran aendelee kuimarisha Uranium zake kwa ajili ya nuclear, halafu pia aendelee kuharibu military bases za Marekani karibia ya 24 na zaidi zinazomzunguka Iran.

Iran akiwa vizuri baada ya kama miaka 10, sasa anaweza anzisha vita na USA ama ndani ya ardhi ya USA ama angani ili Iran awe salama ndanI kwake.

Nasema hivi sababu vita ikianza leo hii kati ya USA na Iran, nategemea Iran itaharibika kutokana na USA kumzunguka Iran kila kona kwa kutumia military base zilizopo nchi jirani na Iran.

Mawazo yangu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Ayatola mbona mpo wengi sana humu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah
images-2.jpeg


dodge
 
Back
Top Bottom