Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,208
- 85,318
Punguza uoga we njoo bhana PM mara moja yaani uko dodoma alafu hutaki kukutana na Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna binadamu asiyependa starehePesa ipo ndo maana nimekuja kuitumia , ila mie sio mtu wa starehe sana, nimekuja tu kupumzika for 3 days
Sent using Jamii Forums mobile app
nitakuchakaje bila makubaliano na weweMkuu kuna mtu kanipa onyo humu, eti huchelewi kuchakata kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa platinum mataa counter, nimelaza K-Vant.Nilikuwa 4g nimekula sasa hivi nipo ya mataa napata kinywaji japo natamani utumbo, maana niliambiwa ziko 3 Ila hiyo ya 3 siendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa platinum mataa counter, nimelaza K-Vant.
Ebu changamsha macho unione
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kibandani kwa sasa ila mida kama kawa nitakuwa kiwanja nikisubiri nivute Chombo moja ya baridiii kabisa(demu) nikapoze nae gheto
Niko kibandani kwa sasa ila mida kama kawa nitakuwa kiwanja nikisubiri nivute Chombo moja ya baridiii kabisa(demu) nikapoze nae gheto
Sent using Jamii Forums mobile app