Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

Nimekaa pestana muda kidogo sana Ila kesho nitakaa muda mrefu kiasi, sasa hivi nipo hotel nalala sasa, sitasema hotel gani Ila ni nzuri sana, nimefurahi na ahsanteni wote walionipa ushirikiano wa kupata maeneo mazuri kwa mahitaji muhimu, watu wa Dodoma wakarimu na wanajiheshimu sana, sijapata usumbufu kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom