Mbwana Samatta kapambana kadri alivyoweza kwa mechi ya kwanza, siyo mbaya

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947
Player ratings

Aston Villa: Nyland (9), Konsa (6), Hause (6), Mings (7), Guilbert (7), Nakamba (7), Luiz (6), Targett (7), El Ghazi (6), Samatta (5), Grealish (9).

Subs: Davis (7), Trezeguet (8), Elmohamady (7)

Leicester: Schmeichel (5), Pereira (7), Evans (6), Soyuncu (5), Chilwell (6), Ndidi (6), Tielemans (7), Maddison (7), Perez (6), Barnes (7), Iheanacho (8).

Subs: Vardy (6), Gray (6).

Man of the Match: Orjan Nyland
 
Samata arelax, asome mchezo unavyokwenda na wenzake wamsome, taratibu wataelewana na kuzoeana ndani ya uwanja na mambo yatabadilika kadiri siku zinavyokwenda, people expect too much from him that he can't offer now.

#GoodluckSamatta.
 
Habar za leo jukwaa

Naomba kutoa maoni yangu juu ya staili ya uchezaji wa ndugu yetu SAMMATA

Jinsi nilivyomuona jamaa, kama vile anacheza kifaza zaidi, hii si mara ya kwanza kumuona akicheza vile ,maana hata timu ya taifa yaan TAIFA STARS, jamaa amekuwa akilalamikiwa sana kwamba hajitumi.

Jinsi nilivyomuona jana, pia jamaa hakujituma mpaka kufikia kupata player ratings ya 5.8 sawa na kipa wa timu pinzani wakati wachezaji wenzake wakipata zaidi ya 7.8

Napata kujiuliza maswali kadhaa kama Samatta amefikia level ya wachezaji mastaa kama akina Ronaldo na wengineo mpaka kufikia hatua ya kucheza kwa kusubiri aletewe mpira miguuni ndo afunge?

Hii ni EPL, wachezaji wanatakiwa wajitume ndipo wapate namba. Anyway, jana ndo ilikuwa mechi yake ya kwanza, lakn hata hivyo alitakiwa kuonyesha timu haikukosea kumchukua.

Screenshot_20200129-093315.jpeg
Screenshot_20200129-093329.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka acheze mpaka ANY.E UWANJANI NDO UJUE KUWA ALIJITUMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samata,
Kwa kuwa ni mechi ya kwanza siwezi kusema mengi.
Ila mjue EPL ni ligi kubwa sana ukilinganisha na ligi ya Ubelgiji.

Jamaa inabidi aongeze physic na kasi pia.
Anaonekana bado legelege kiasi ila huu ni mwanzo mzuri sana. Sipati picha kama angefunga na lile gori, ingependeza zaidi.

Viva Samata, Viva Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amejitahidi ni mechi yake ya kwanza pia ni mechi ngumu maana ile ilikuwa nusu fainali

Lakini pia alibanwa sana na mabeki kiasi kwamba wenzake walipokuwa wanakuja na mpira yeye alikuwa haonekani

Alipasiwa pasi 3 moja alipiga mpira ukaingia nyavuni lakini alikuwa tayari amezidi na pasi mbili ahakufanikiwa kugusa mpira

Ngoja tumuangalie na wkend ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wachezaji wenzake bado hawajamuamini pasi nyinhi walikuwa wanampatia yule jamaa aliyefunga bao la kwanza. Kagusa mipira mara chache sana na katika huko hakufanya makosa makubwa
 
Ningumu kuclick first game hasa uingereza,pia wachezaji wenzake bado hawajajua vizuri movements zake.

Pia tuwe wakweli Leicester city walidominate mpira asilimia kubwa,mbwana angekuwa mchezaji wa Leicester angeuza sana jana kutokana na pasi za viungo wa City.....hasa yule Madison......ila Aston Villa jana walikuwa underdog na walikuwa na bahati tu kushinda jana

Ila bado ananafasi ya kuprove ubora wake japo movements zake jana zilikuwa nzuri,anafika kwa muda eneo lake.......kila la heri kwake
 
Habar za leo jukwaa

Naomba kutoa maoni yangu juu ya staili ya uchezaji wa ndugu yetu SAMMATA

Jinsi nilivyomuona jamaa, kama vile anacheza kifaza zaidi, hii si mara ya kwanza kumuona akicheza vile ,maana hata timu ya taifa yaan TAIFA STARS, jamaa amekuwa akilalamikiwa sana kwamba hajitumi.

Jinsi nilivyomuona jana, pia jamaa hakujituma mpaka kufikia kupata player ratings ya 5.8 sawa na kipa wa timu pinzani wakati wachezaji wenzake wakipata zaidi ya 7.8

Napata kujiuliza maswali kadhaa kama Samatta amefikia level ya wachezaji mastaa kama akina Ronaldo na wengineo mpaka kufikia hatua ya kucheza kwa kusubiri aletewe mpira miguuni ndo afunge?

Hii ni EPL, wachezaji wanatakiwa wajitume ndipo wapate namba. Anyway, jana ndo ilikuwa mechi yake ya kwanza, lakn hata hivyo alitakiwa kuonyesha timu haikukosea kumchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa ni kwamba ameanza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi .

Kuna wachezaji walikuja EPL wakiwa moto lakini wakashuka viwango
Di Maria
Dempay
Gyan
Ukumbuke pia Samatta sio kama wachezaji wengine wa Ulaya ambao utotoni wanakaa kwenye academy na kupanda taratibu kwny team kubwa.wanakuwa na stamina sana na mechi nyingi za kucheza ambapo huku kwetu hatuna ligi nyingi zenye ushindani ..Samatta hizo ni nguvu na jitihada zake binafsi.

Tumuombee na tuendelee kumpa moyo na kumpa support azingatie maelekezo ya coach .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom