Minada ya hadhara ina siri gani?

CHIBE BOYS

Member
Apr 20, 2019
91
118
Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo?
Je hizi bidhaa sio fake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huchukuliwa kwa walioshindwa kulipa mikopo ila nao huwa wamenunua bidhaa fake.

Nawe ukinunua unakuwa umenunua feki.
 
Back
Top Bottom