Recent content by cheu yang

  1. C

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutuma maombi NACTE ni lini?

    kuna watizii humu walisema mwezi mei ndo wanafungua so nikajaribu kuingia nacte nakuta kimya so nikajua labda wamefunguliwa kwenye inbox zao
  2. C

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutuma maombi NACTE ni lini?

    Jamani kwa anaejua muda wa kutuma maombi manake wengine wanatuambia mwezi wa 5 wengine wa 7 sasa tunawaomba mje wale watasha mnaojua muda.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada wa haraka

    namna ya kudownload movies za FAST and FURIOUS kwa kutumia simu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

    leta wajeda!! leta wagambo!! leta defender nk...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    naomba kujuzwa vipimo vya D N A vinapatikana wapi na gharama yake ni sh. ngapi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Vibao vya marufuku maishani mwako

    njia pekee ya kuvunja kibao ni kujiwe kwa udhatiti upande mmoja sasa utajuaje kama umeshakivunja tiali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Vibao vya marufuku maishani mwako

    uminifungua macho
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha sita

    habari ndugu zangu ni kijana wakiume umri miaka 22 elimu kidato cha sita naomba kazi yoyote ambayo naweza kupata riziki kwa mawasiliano zaidi naomba mni PM
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    habari wa wana jamii naomba kujuzwa nianze biashara gani na mahali gani ambapo ntaweza kupata riziki ya kila siku mtaji:100000
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za Africa

    mm nilitaka undergraduate
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za Africa

    Habari zenu wanajukwaa Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za africa ili ikiwezekana nikasomee huko mfano SOUTH AFRICAN COUNTRY EAST AFRICAN COUNTRY
  12. C

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA ni nani sasa?

    hata kuongea kwake kunaonesha katokea koromije
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nape Kasema haya baada ya Ney kuachiwa huru

    anajipendekeza kulalake zake huyu
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni tecno gani yenye ubora kuliko matoleo yote?

    tecno 345
Back
Top Bottom