habari zenu wanajukwaa
naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za africa ili ikiwezekana nikasomee huko mfano
SOUTH AFRICAN COUNTRY
EAST AFRICAN COUNTRY
mm nilitaka undergraduateKama umri wako ni chini ya 35 for Masters, DAAD na KAAD wanatoa scholarship hapa africa.Google ujionee.