Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Kwa kipindi kirefu sana baada ya Uchaguzi Mkuu 2015 ambao tulishindwa kuchukua dola inaonekana kama tumekata tama vile. Sioni Propaganda na Uhamasishaji kupitia vyombo vya Habari zaidi ya sisi CHADEMA kutumia Mitandao ya Kijamii na Matukio kama ya Bashite, Kupokea watuhumiwa wa Dawa za Kulevya na kulaumu kila kitu kinachofanywa na Serikali.
Hali hii inakatisha tamaa kwa sisi CHADEMA Asili ambao tunazikumbuka sana Enzi za Dr Slaa na inatuuma sana kuona CHADEMA iliporomoka kwa kasi ya Ajabu.
Viongozi wetu ebu amkeni muwe serious jamani! Peooooooooooooooooooopleeeeeeeeeees!!!!!