Muda wa kutuma maombi NACTE ni lini?

cheu yang

Senior Member
Mar 4, 2017
115
83
Jamani kwa anaejua muda wa kutuma maombi manake wengine wanatuambia mwezi wa 5 wengine wa 7 sasa tunawaomba mje wale watasha mnaojua muda.
 
jamani wale mnaejua muda wa kutuma maombi manake wengine wanatuambia mwezi wa 5 wengine wa 7 sasa twawaomba mje wale watasha mnaejua muda
Acha mihemko tulia watatoa tangazo kama unaiwezo wa kuingia jamiiforum unashindwa nn kuingia nacte hapo ndio utakuta majibu sahihi unaowauliza humu hawausiki
 
Acha mihemko tulia watatoa tanfazo kama unaiwezo wa kuingia jamiiforum unashindwa nn kuingia nacte hapo ndio utakuta majibu sahihi unaowauliza humu hawausiki
kuna watizii humu walisema mwezi mei ndo wanafungua so nikajaribu kuingia nacte nakuta kimya so nikajua labda wamefunguliwa kwenye inbox zao
 
Back
Top Bottom