Toka niga J wa chemsha bongo, hadi yule Prof J, wa bongo dar es salaam, Ndio mzee, Salamu Bibi na Babu,Jina langu, Tathimini, Niamini,Machozoi jasho na Damu, akaja yule, Sio mzee, Msinitenge.....Huyu jamaa anafaa kuwa namba moja wengine waanzie namba 3.