Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,340
Kwani nilikuwaga wapi
Naona vistory viliisha, utakuwa umenunua novel mpya.
Kwani nilikuwaga wapi
kweli uzinzi hauishi, unaoa alafu unakubaliana na mtu kuwa muwe mnachepuka hali akijua una mke! Kwa nini usingemuoa yeye mchepuko sasa mkuu maana inaonekana umekuwa nao kabla ya kuoa
ndoto ni bayana. tunapata maonyo, mafundisho, tunaelezwa yajayo thro ndoto. sema huwa tunazidharau, in short unaonywa kuwa ukiendelea na tabia hiyo, kuna matatizo makubwa yatatokea! unachotakiwa ni kuacha. naamini hadi ukaamua kumuoa huyo mdada instead of ur mchepuko uliyekuwa naye kabla, means that dada is the best. so tulia na ndoa yako kuepusha matatizo. unaweza kusema 'aah! kwan wakipigana ndo nn!..' bt kumbuka lolote laweza tokea kwenye hizo ngumi mkaanza mambo ya polisi, hosp nk. which is wastage of time na kushushiwa heshima
Huo mguno mbona ni kama wa jimama flani hapa mtaani kwetu ni li mbea vibaya sana