Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.

Sijajua kwanini wana dhihaki dini nyingine huo niubaguzi wa aina flani kwanini tusiishi kwa kupendana nakuvumiliana na kuheshimiana maana mm kwa upande wangu nawaheshimu sana waislamuu wana taratibu ziko wazi kabisa hawana unafki kabisaaa
 
MziziMkavu nakukumbali sana kwa kweli unahekima za kiutu uzima kabisa kama avater yako. hongera mkuu
Waliofanya kuchoma moto ni WAhuni wa nchi ya Niger basi tunahusishwa sisi wote iweje Samaki mmoja akioza wote waoze kwanini? M-Tanzania Mmoja akikamatwa Nchini Hong Kong kwa Madawa ya kulevya Basi wote Wa-Tanzania Watakuwa Wanauza Unga? Tujaribu kuheshimiana katika mambo ya Dini.
 
Kuna baadhi ya magazeti makubwa duniani na TV stations katika Western countries yamekataa kuonyesha hizo picha za kwanza kabisa na hizi za juzi kwa kutotaka kuoffend Waislamu, hivi ndivyo inavyotakiwa iwe. Pamoja na kutaka sana freedom of speech lakini iwe na mipaka yake ili uhuru huo wa kuandika na kuongea usiwe chanzo cha mitafaruku ya kidini duniani.

Sijajua kwanini wana dhihaki dini nyingine huo niubaguzi wa aina flani kwanini tusiishi kwa kupendana nakuvumiliana na kuheshimiana maana mm kwa upande wangu nawaheshimu sana waislamuu wana taratibu ziko wazi kabisa hawana unafki kabisaaa
 
Waislam wana akili za ajabu. Kwani kanisa ndio limemchora mtume? Makanisa yamehusikaje?

Dunia ingekua salama sana kama uislam usingekuwepo,ni fujo tu umeleta.

Pole sana hujui ulitendalo.
 
Unajua mimi sielewi kibonzo cha ufaransa kwenye kampuni ya magazeti kimehusikaje na kanisa Niger? Kanisa linaingiaje kwenye ugomvi wa waislam na kibonzo?

Hii ni dalili ya watu kutafuta machafuko kwa nguvu ili waende peponi kwa miguu. Hakuna sababu ya kuingiza watu kwenye ugomvi usiowa husu kwa lazima.


Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,dhambi ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe
 
Tofaut yetu ipo hapoo !...........mzaha na dini wapi na wapi ?!
Mungu wa kununua dukani sisi hatuna

Hapo kweli ni tofauti kubwa yaani wakudhihaki waandishi wa magazeti ulaya wewe unaenda kuchoma moto kanisa la jirani yako Africa , huo ni ubunuasi, hata mtume anawashanga
 
Hapo kweli ni tofauti kubwa yaani wakudhihaki waandishi wa magazeti ulaya wewe unaenda kuchoma moto kanisa la jirani yako Africa , huo ni ubunuasi, hata mtume anawashanga

hao wa makaniisa ndio wanao waendekeza !........!
 
hao wa makaniisa ndio wanao waendekeza !........!

Utakuwa na wewe abunuasi kama wao si bure...makanisa yanahusika vip na katuni. yaani anidhihaki juma mimi niende kumpiga hamisi ndivyo sheria za kwenye dini yenu zinavyosema
 
Unajua mimi sielewi kibonzo cha ufaransa kwenye kampuni ya magazeti kimehusikaje na kanisa Niger? Kanisa linaingiaje kwenye ugomvi wa waislam na kibonzo?

Hii ni dalili ya watu kutafuta machafuko kwa nguvu ili waende peponi kwa miguu. Hakuna sababu ya kuingiza watu kwenye ugomvi usiowa husu kwa lazima.
Ndo ushangae sasa,halafu hao Charlie hebdo wenyewe hawaamini kuwa kuna Mungu ,yaani hawana dini,hao wajiga waislamu wanachoma makanisa,wakati wachora vibonzo hata kwenye Ukristo hawamo
 
Nashangaa hii habari magazeti ya Tanzania hayajaiandika na ipo toka juzi (au wameandika sijaona?):

Pope Francis: 'You cannot make fun of the faith of others'

Pope Francis says there must be limits to free speech when it comes to religion, speaking in reference to the Charlie Hebdo attacks in Paris last week

Pope Francis has weighed into the debate over freedom of expression in the wake of the murderous attacks in Paris, saying that anyone who insults a religion can expect "a punch in the nose".

In provocative remarks which may cause consternation in France, the Pope said that freedom of expression had its limits, especially if it involved insulting or ridiculing religion.

He made the forthright comments to journalists on board his official plane as he flew from Sri Lanka to the Philippines, the two stops on his week-long visit to Asia.

Gesturing towards Alberto Gasparri, a Vatican official who organises pontifical trips and who was standing next to him on board the plane, he said: "If my good friend Dr Gasparri says a curse word against my mother, he can expect a punch in the nose."

Throwing a pretend punch, the Pope said: "It's normal. You cannot provoke. You cannot insult the faith of others. You cannot make fun of the faith of others."

His remarks came a week after Islamic extremists stormed into the Paris offices of the satirical magazine Charlie Hebdo and shot dead 12 members of staff, including some of its best known cartoonists, who for years had poked fun at Islam as well as other religions, including Christianity.
On Wednesday the magazine released a "survivors' issue"which featured an image of the Prophet Mohammed on its front cover.

The edition also included highly provocative cartoons about the Catholic Church.
The Pope did not refer specifically to the magazine but said that insulting religions was unacceptable and dangerous.
"There are so many people who speak badly about religions or other religions, who make fun of them, who make a game out of the religions of others," he said.

"They are provocateurs. And what happens to them is what would happen to Dr Gasparri if he says a curse word against my mother. There is a limit."

Source: Pope Francis: 'You cannot make fun of the faith of others' - Telegraph
Leo umemkubali Papa eh! Sasa iwapo Papa alisema maneno mazuri hivi, ni kwa nini mnachoma makanisa tena?
 
Waislam bwana,hivi wanachukia kwani wanaijua sura ya Mohomed?mimi YESU akichorwa wala sijali,wamchore tu,chamber ni zao,kwanza hakuna anaejua sura ya Yesu,hata wakimchora itakuwa siyo yenyewe

Kuna mtu hapa TZ alisema Yesu sio Mungu, alifunguliwa mashtaka na kufungwa miezi 18, hapa napo unasemaje????
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.
Si dhani kama kuna dini inafanya hivi....bali ni watu ndio wanafanya hivi...ila sasa reaction ya dungu zetu huwa inakwenda kwenye dini fulani...hebu waje waseme hapa wanafundishwaga nini huko madrasa
 
Leo umemkubali Papa eh! Sasa iwapo Papa alisema maneno mazuri hivi, ni kwa nini mnachoma makanisa tena?
Hawa watu ni vigumu kuelezeka ,wanamkubali Papa kisa kawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Hauwezi kufikia mafanikio kama haukubali kuambiwa ukweli na kupewa changamoto,wanataka kwenda kimya kimya na agenda yao mgongoni.
Mbona Ukristo umesemwa na kutukanwa sana lakin wao wanasonga mbele na mambo yao,kuna nabii wa Mungu hakusemwa vibaya?Mbona hawa jamaa wana hasira hivyo,wanaprove hivyo wanavyosemwa ni kweli na hawasingiziwi,wanaonyesha wao ni nani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom