Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

Chadema siyo chama cha demokrasia na maendelea kwani
Hakuna democracy ndani ya chama hata ukiuliza ruzuku utaitwa msariti, hakina maendeleo yoyote tangu kianzishwe 1992 wala kitega uchumi pia kina kwamisha maendeleo nchini.chama siyo chama cha wananchi bali ni chama cha mtu bimafsi kwa manufaa ya familia yake binafsi.

Kiwe na kitega uchumi unafikiri ni chama cha kibiashara hiki? Hatufanyi biashara kama ccm wanavyouza pembe za ndovu na madawa ya kulevya?
 
Mtu akipendekeza serikali TATU (Mansour) kwenu nyinyi ni haki kumfukuza, CHADEMA wakifuata matakwa ya katiba yao wao ni wabaguzi!
 
Sikujua kwamba Wapambe wa Lowasa Mnawaogopa Nape na Makonda namna hii

Umeona wapi chatu akamuogopa mbwa.Ukiwa rais wa nchi wewe ndio mteuzi wa nafasi za utumishi serikalini,taasisi,maahirika,vyombo vya ulinzi na usalama na kisiasa upande wa pili wewe ndio mwenyekiti wa taifa CCM.
Wasikusumbue hao watakuja wenyewe tena kwa kuungama.
 
MwanaDiwani acha kupotosha , cdm haina ugomvi na mtu yeyote anayefanya mawasiliano na taasisi yoyote ile , bali malengo ya masiliano hayo yasiwe hujuma kwa chama , na natoa onyo kwa yeyote mwenye lengo la kuhujumu chadema , hatomaliza hujuma hiyo na atabainika na kukamatwa haraka sana , ni heri kutafuta kazi halali za kufanya vinginevyo atadhalilika vibaya sana , pamoja na uzee wake mangula lakini hili tukio limeuumbua na kumdhalilisha sana na hatotakata milele ! cdm ni mpango mkubwa sana wa Mungu mwenyewe .
 
Vipi huyo aliyetoa tamko amegusia kutwesa kwa Kagenzi au amepotezea kwa kuwa si mchaga wala mkristo.

acheni unafiki, waraka wa TEC umeandaliwa tangu februari na kusomwa leo, huyo jamaa walimpapasa tu wiki iliyopita, chuki za udini zitatupeleka pabaya sana.
 
Inawauma nini wakati adui yenu anaharibikiwa? Mi nadhani mngefurahi kwamba wanafarakana....si tuliambiwa na wahenga adui muombee njaa?! Mchukueni mapema kabla hawaja patana tena, anaweza kuomba msamaha hadharani wakamrejesha mtakuwa mmemchelewa. Mbona yanga walipomzingua Okwi simba hawakuwahurumia wakamvuta chapchap. We mwanafiwani usijifanye una huruma sana na cdm sema una ajenda iliyositirika.
 
chadema siyo chama cha demokrasia na maendelea kwani
hakuna democracy ndani ya chama hata ukiuliza ruzuku utaitwa msariti, hakina maendeleo yoyote tangu kianzishwe 1992 wala kitega uchumi pia kina kwamisha maendeleo nchini.chama siyo chama cha wananchi bali ni chama cha mtu bimafsi kwa manufaa ya familia yake binafsi.

huna hoja, ni vizuri ukachukua shuka na kulala ujenge afya.
 
Wewe unachanganya mambo, suala la kutafuta habari na taarifa hufanywa na taasisi zote, hakuna ubaguzi hapo.
 
chadema bongo lala wamesahau usalama wa taifa walimzuia mbowe kwenda kwenye mazishi ya chacha wangwe kwa usalama wake

Mbona hao hao usalama wa Taifa walishindwa kumzuia Mchungaji Mtikila hadi akapigwa mawe kwa kutaka kuleta hoja za miCCM msibani?
 
Mwl. Nyerere alishawahi kusema, "dhambi ya ubaguzi haifi, inaendelea. Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda inaendelea, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu utaendelea tu.".

Kila siku dhambi ya ubaguzi inazidi kumea na kuimarika ndani ya CHADEMA kiasi kwamba kwa sasa wamefikia hata kuanza kutesa baadhi ya watu ili kuendeleza dhambi ya ubaguzi.

Viongozi wa CHADEMA kila siku wanapanda kwenye majukwaa na kujigamba wakisema baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa wanawapa siri za serikali na CCM lakini wanasahau kuwa, maneno yao yanachagiza Karma Law inayosema, What goes around comes around or as you sow, so shall you reap.

Viongozi wa CHADEMA walishawahi kunukuliwa kwenye mikutano katika thread hii;


CHADEMA wanafurahi sana kudai wanapewa siri za Serikali au CCM na baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa lakini wanakuwa wa kwanza kutoa malalamiko na kudai wanahujumiwa pale siri zao zinapochukuliwa na watu hao hao wanaodai wanawapa siri za serikali au CCM. Waingereza wanasema, Don't hate the player, hate the game!

Unapopewa lazima pia ufahamu kuwa utatoa kwa njia hiyo hiyo iliyotumika katika kupewa. This is natural justice!

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwasiliana na baadhi ya wana usalama wa taifa (TISS) lakini mwanaCHADEMA mwingine akifanya hivyo hukumu yake ni kuteswa ndani ya ofisi za Red Brigade.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na rafiki au ndugu ambaye anafanya kazi katika idara ya Usalama wa taifa, lakini mwanachama mwingine akionekana hata anapanda gari ya mfanyakazi wa usalama wa Taifa adhabu yake ni kuteswa na kufukuzwa uanachama.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na namba za simu za viongozi wa CCM au serikali lakini mwanachama mwingine akiwa pia na namba hizo hizo anaitwa msaliti.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA huwa wanafanya mawasiliano na Mwenyekiti wa CCM Taifa, lakini hao hao viongozi wakigundua mwanachama mwingine anafanya pia mawasiliano kama hayo, watamuita msaliti ambaye adhabu yake ni kufukuzwa ndani ya chama.

Hii haitokei kwa bahati mbaya bali kinachofanyika ni
endelezo la dhambi ya ubaguzi ambayo inaendelea kuitafuna CHADEMA.

Chacha Wangwe aliishabikia hali hii lakini mwisho wake ikamtafuna.

Zitto Kabwe na kundi lake waliishabikia hali hii mwisho wake ikawatafuna.

Khalid Kagenzi pia aliishabikia kwa kuanzisha Red Brigade, mwisho wake imemtafuna karibia apoteze maisha yake wakati anateswa ndani ya ofisi za Red Brigade kama siyo wasamalia wema kupiga kelele kuomba msaada.

CUF na NCCR-Mageuzi walishabikia ubaguzi wa CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA, kwa sasa umeanza kuwatafuna kwa kuanza kubaguliwa!. Neno UKAWA kwa sasa ni bidhaa isiyouzwa au kuuzika ndani ya midomo ya wanaCHADEMA baada ya chaguzi za serikali za mitaa.


Ifahamike tu, leo ni kwa mwingine ndani ya CHADEMA lakini kesho ni kwako unayeendeleza ubaguzi huo ndani ya CHADEMA.

Nenda Lumumba kachukue mgao wako,inaonekana ulikuwa unapumua sana ulivyokuwa unaandika.Kama huna jambo la msingi na lililofanyiwa utafiti wa kutosha,ni bora ukae kimya,kwani riziki itakuja hata kama hujaleta mada hapa JF
 
Hakuna watu wasiojielewa kama ccm,hakuna chama chenye ubaguzi tena wa wazi kama ccm,mleta ajenda hii naomba aeleze tangu 1995-leo nani aliyasema haya au wanaccm mnasingiziwa?

*1995 mlisema hatuwezi kutawaliwa na Mmakonde,Mwl akiwa Mbeya akasema " hatutamchagua mtu kwa sababu ya dini yake,su kabila lake,na hatutaachs lumchagua mtu kisa tu ni Mkara au ni Meislam Mhindu,Mkristo,hata asiye na dini tutamchagua ns kutengeneza utaratibu wa kumwapisha"


* Mkapa aliwahi kumtishia kumfukuza aliyekuwa mkuu wa Mkoa na mjumbe wa cc ya ccm ndg Jr Ulimwengu kuwa sio rsia!


* Mwaka 2005, ccm walimwita Dr Salm Ahmrd Salm kuwa sio Rais wa Tanzania, ni mwarabu,

*Husein Bashe akaambiwa na cc baada ya kushinda jina lake akakatwa eti ni msimsli,tangu hapo hamjawahi kusema kuwa wote hawa si watanzanis au la,

Hamkuishia hapo,mlisema kwa Wenje na viongozi wengi ea chadema,Watanzania hata kama mnadhani mbinu ya Zzk ndio kiki tumewatambua tutawashughulikia endeleeni kuleta jf thread za ubaguzi kama mmekosa hoja,anzisheni mashindano ya fisi niko tayari kuchangia

*
mkuu weka rekodi zako sawa. Ulimwengu hajawahi kuwa mkuu wa mkoa bali mkuu wa Wilaya Ilala na Singida. Ulimwengu, Castico na Balozi Bandora walinyang'anywa Uraia
 
Back
Top Bottom