Ziara za ACT - Wazalendo zawapagaisha CHADEMA

Ziara za ACT - Wazalendo zawapagaisha CHADEMA

Mkiambiwa lengo lenu kuu ni kupambana na CHADEMA mnakataa...
 
Jinsi siku zinavyosonga ndivyo ubaya wenu waendelea kuonekana wazi...

Kama malengo yenu mnayoita ya kizalendo, mara ya kijamaa ni kupambana na upinzani basi hamna utofauti na CCM...

Wewe u mwalimu wa namna gani usiyetumia taaluma yako barabara...

Kama kweli nia yenu ni kufundisha wengine namna ya kuendesha siasa safi na uongozi bora kwa nini sasa mnatafuta uhasama nao?
 
tunaishukuru sana wizara ya elimu kwa kufutilia mbali ualimu wa UPE .
 
Hivi chama chako hakijaona mtu mwingine wa kukisaidia propaganda zaidi yako? Kama ni kweli, basi uwe unaipanga kidogo kbla ya kupost matapishi yako. Utakiua chama chenu kwa kukosa kujua adaui yenu kimkakati ni nani kati ya upinzani na chama tawala

Matapishi ni haya uliyoyatapika, kwani ni uongo ya kuwa ACT watapata wanachama wengi kutoka vyama vingine, ulitegemea wanachama watoe wapi na mgawanyo wa watu ni hawa hawa watanzania walio hai, ACT haitakuja na kiwanda cha kutengeneza wanachama, Viwanda vyao ni CDM, CCM , NCCR , CUF nk
 
Ziara mfululizo za ACT-WAZALENDO sasa zimeanza kuwapagaisha Chadema na kuanza kundaa mbinu ovu za kuharibu ziara hizo.Kwani katika ziara hizo kuna makundi ya watu kutoka vyama vya CCM na Chadema wanakwenda kujiunga na ACT-WAZALENDO. Chadema wameanza kupata hofu ya wanachama wao kukihama chama hicho ambacho kimeanza kupoteza mvuto kwa wananchi.Viongozi na wanachama wa Chadema wameanza kutumiana meseji zenye kuhofia ziara hizo za mikoa kumi zitakazoongozwa na viongozi wa ACT-WAZALENDO TAIFA.
Mkuu kaijage unawaudhi sana wa cdu kwa thread zako,umewashka pabaya sana! Pole zao...
 
Huyu ni mwalimu kweli? Lengo la ACT kupambana na CDM. Wanafunzi wako wanakazi. Watu wengine mnachefua kuandika uboho kila saa.
 
Ziara mfululizo za ACT-WAZALENDO sasa zimeanza kuwapagaisha Chadema na kuanza kundaa mbinu ovu za kuharibu ziara hizo.Kwani katika ziara hizo kuna makundi ya watu kutoka vyama vya CCM na Chadema wanakwenda kujiunga na ACT-WAZALENDO.

Chadema wameanza kupata hofu ya wanachama wao kukihama chama hicho ambacho kimeanza kupoteza mvuto kwa wananchi.Viongozi na wanachama wa Chadema wameanza kutumiana meseji zenye kuhofia ziara hizo za mikoa kumi zitakazoongozwa na viongozi wa ACT-WAZALENDO TAIFA.


Hizi siasa za mitandaoni hazina mantiki. Tendeni watu tutawaelewa na sidhani kama objective yenu ni kugombea na au kuibomoa chadema au ccm. Kama hiyo ndiyo objective basi mmepotea
 
Chadema mpaka sasa wanahangaika na kutafuta namna gani watavyohujumu mikutano ya ACT-WAZALENDO,kwani wimbi la wananchi ni wengi wanaokwenda kujiunga na chama hiki cha Wazalendo.
 
Chadema mpaka sasa wanahangaika na kutafuta namna gani watavyohujumu mikutano ya ACT-WAZALENDO,kwani wimbi la wananchi ni wengi wanaokwenda kujiunga na chama hiki cha Wazalendo.

Nyie watu nia yenu siyo njema.
 
Back
Top Bottom