Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

Unawajua wazee wewe Fanya ukinasa mpaka katapila utahitaji likutoe aibu yako itakuwa milele
 
mkuu hapa unataka ushauri wa namna utakavyomgegeda ama? Maana kama ni kumgegeda inaonekana mshapanga wewe nae kufanya hvyo
 
Kashawekewa madude huyo ukiingia utanasa na hadi mzee arudi.

Mke wa mtu sumu.
 
Kuna nyuzi nikiona author wala sina sababu za kufungua...! Bora hata huyu anaongea "personal poyoyo", kuna mwingine hana life kabisa...only talks about others' issues!!!
 
Wewe una yako, ulitongoza ya nini Kama huna imani na ufanyacho? Umekula ng'ombe mzima then unashindwa kumaliza mkia. Mfyuu
 
sasa anakutaka au ulimtaka?..wakati unamtongoza c ulijua ameolewa na mzee?..acha kujitapa uliomba ukakubaliwa tena ulibembeleza sn leo unakuja kujipapatua hapa. shem on u
 
Ni binti mmoja wa mtaa wa pili karibia apa nnapokaa.Binti mwenyewe bado ni mbichi kabisa lakini kaolewa na mzee mvi zimeanza kumjaa kichwani.Huyu binti ni mama wa nyumbani lakini mumewe amemfungulia kiduka.Kwahiyo mda mwingi anakua yuko dukani anauza.Na mimi ndo mahali nnapopata mahitaj yangu ya kila siku kwsbb ndio duka la karibu

Lakni kila nikienda pale dukani uso wa huyu binti hauna furaha.Lakin kwa akili za kiutu uzima nikajua huyu binti mzee wake hamlizishi.Ukimuangalia machoni anaonesha kabisa anahitaji kijana mwenzie wa kumpetipeti.Mzee anampunja sana.

Kwahiyo nikaanza kumwaga sera zangu taratibu mpaka zikaeleweka.Lakini tatzo nafasi ya kutoka hana.Kwahiyo amenambia kama nataka mzigo nimbinjukie mchana wakat watoto wameenda shule na mzee akiwa yuko kazin.Huku kwetu kumetulia sana hakun shazi na uwezo wa kubinjuka upo ila moyo wangu bado unasita
Bint mbichi
Naombeni mnipe hujasiri au ushauri nimbinjukie au vp.Kwsbb anaonekana amechoka "singeli" na anahamu sana na "yamotoband".Nikimnyima ntakua sijamtendea haki.

Bint mbichi kabisa ila anawatoto wanaenda shule. Akili za kiutuuzima kutongoza mke wamtu. Reserch yako mazingira ni tulivu huko kwenu, halafu unataka ushauri. Mvi kwa akili zako za kiutu uzima ni uzee. Unatabia za inzi, na utafia kwenye kidonda.
 
Back
Top Bottom