Wapi Nurueli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Nurueli?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Raia Fulani, Feb 4, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Namkumbuka Nurueli katika kibao chake cha awali sana cha Mng'aro wa silva. Ule wimbo hadi kesho ni classic. Nikamsikia tena katika wimbo wa kilio, akimlilia baba yake. Nikaja tena kumsikia akiwa na B Band akivunja aya moja kwa umakini na umahiri wa hali ya juu. Nzela mimi jirani yako...

  Mara nikasikia mshkaji teja, sijui kama hizi tuhuma zilikiwa na ukweli. Kabla ya hapo niliwahi kumwona EA TV nadhani kipindi cha planet bongo ya Salama enzi hizo. Jamaa alikuwa akizungumzia mrejeo wake nikasema, yap! Juu ya nini watu kama hawa kupotezwa katika fani? Come back and come again man. Jamaa anapendezea kuwa solo pia maana anajiweza.
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2015
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Dah! Jamaa me na mkubali sana, hapa kwenyewe nilikuwa na googled wimbo wake wa mng'aro wa silver nikakutana na thread hii. Katika wasanii wenye sauti nzuri na wanaojua kuzitumia na huyu jamaa, japo amefulia ila ukimsikiliza kwenye wimbo wa usikate tamaa ya kala Jeremiah utakubali bado yupo vizuri
   
 3. CHANZO

  CHANZO Senior Member

  #3
  Feb 4, 2015
  Joined: Mar 1, 2014
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo wengi tunaomkubali sema gemu gumu vipaji sio tena dili, dili ni kuwa na connection.....Jamaa anakomaa na gemu kuna wimbo mpya wa Kala jeremia ameimba kiitikio....wewe jiulize hivi Nuh Mziwanda anaimba nini hadi apate shows na air time ya kutosha?
   
 4. Super Handsome

  Super Handsome JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2015
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 2,834
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Nurueli si teja na yuko anafanya muziki wa live na banana...ukitaka kuenjoy kila ijumaa nenda east 24 utamkuta yy na banana wakikonga myoyo..uwezo wake uko pale pale!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2015
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Watu kama Nurueli si wa kuishia kwenye show za mahotelini. Sema ndio hivyo industry ya muziki TZ ina ugumu wake
   
 6. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2016
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
 7. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2016
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
   
 8. M

  Mapensho star JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2016
  Joined: Jun 30, 2016
  Messages: 1,296
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mtu anayejua kuitumia sauti ni diamond huyu jamaa anavoco nzuri lakini me naweza sema ajitambui kuwa anaweza kufanya makubwa
   
Loading...