Recent content by Chakumenyele

  1. C

    JamiiForums Tanzania Umekataa kunilelea watoto wangu hivi unadhani nitakupenda kweli?

    Duu single father!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa North Mara unaingiza hasara ya $1,000,000 kwa Siku

    Wanatengeneza hasara,ili wakienda mahakamani watunyoe kwa chupa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada baba yangu yupo kwenye hali mbaya sana

    Kama madaktari wameamua mpelekeni akakatwe,siku hizi kuna miguu ya bandia.akipona ataendelea na shughuli zake
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unayokutana nayo unapokutana na marafiki waliofanikiwa katika maisha?

    Msela wa Manzese we kauzu kweli teh teh! Mimi nilipata ajali na kupoteza kiungo cha mwili.napozungumza na nyinyi hata wale niliokuwa nakunywa nao bia siwaoni.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri katika kipindi hiki kigumu nilichonacho na Mungu atakubariki

    We sema chaka ulilotupwa haijalipenda.ushauri,mshahara ukiingia watumie nauli wadogo zako wakufuate uliko
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni halali kulipa madeni ya shule ya enzi za Kikwete ndani ya mfumo wa elimu bure?

    Na leaving certificate nataka kukata cheti cha kuzaliwa. Cheti cha CSEE hawakihitaji. Hongera kwa juhudi ulizofanya.Kama unadaiwa pesa nyingi mtafute Mwalimu au sekretari wa headmaster then uongee nae kiutu uzima kwa kumpa pesa ya nyama,naamini atakupatia.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

    Jinga limecoPy kwa the bold,hata kumPa credit halitaki.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni halali kulipa madeni ya shule ya enzi za Kikwete ndani ya mfumo wa elimu bure?

    Wewe living certificate itakusaidia nini?wakati kuna Result slip.au ulitaga ndo unataka kutumia iyo kuombea vibarua,Maana inaonekana umemaliza mudaa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wito: Tumchangie binti asiyekuwa na mikono aweze kupata mikono ya bandia Ujerumani

    Ila nashauri ITV ingechangisha au taasisi zinazoeleweka.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta...Mahindi yanaharibika shambani

    Pole!hiko ndo kilimo,vumilia.pia usisahau kumuona bwana shamba
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa walimu wapya,TGTS ya mshahara wao ni mpya au ya mwaka 2015?

    We subiri ukaanze kazi ili akili ikae sawa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kama unalima kusini masoko ni ya uhakika,hasa msimu ukianza. Cha kuomba ni bei iwe nzuri, kwa sasa komaa shambani kwani kilimo kinahitaji usimamizi.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ili niwe Rubani wa Ndege Nifanyeje?

    Bado unaweza kutimiza ndoto zako.zichange then ukasome
  14. C

    JamiiForums Tanzania Askari mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi

    Kazi kweli kweli
Back
Top Bottom