NKULIKWA JICKSON
Member
- Apr 14, 2017
- 40
- 3
Napenda kujua walimu walioajiriwa mwaka huu.TGTS ya mshahara wao ni mpya au ya mwka2015? Pia watalipwa mshahara mwezi huu au mwezi ujao? Na increments yao ni mwezi UPI kula mwaka?
unaulizia mshahara wakati hata kazi hujaanza??
unaulizia mshahara wakati hata kazi hujaanza??
hakuna hicho kitu wewe kwa diploma utaacha na laki 5 na shahada laki saba mshahara ghafi bado hujakutana na wazee wa makato,kodi,chama cha walimu,bima ya afya,mfuko wa jamii,mbio za mwenge nkKila mwaka TGTS Zake,nataka ukweli!!!
tumuelewe huyu si mwl mpya yy in mzoefu anachoamini kama watajaza mkatapa tofauti na wale wa 2015 muundo utakuwa bado wa zamani Ila kama muundo mpya mshahara utakuwa umebadilika kwa walimu wotehakuna hicho kitu wewe kwa diploma utaacha na laki 5 na shahada laki saba mshahara ghafi bado hujakutana na wazee wa makato,kodi,chama cha walimu,bima ya afya,mfuko wa jamii,mbio za mwenge nk
Piga *150*66# utauonaMshahar mwez wa nne bado?
TayarMshahar mwez wa nne bado?
mmh mkuu, real?Tayar