Askari mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi

Askari mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi

Hoja yangu haikuwa katika Kitendo ambacho kimsingi hata Mimi nakipinga ILA sijapenda aina ya Uandishi wa Kichafuzi wa kutumia Tasnia ya Mtu kama kutaka kumdhalilisha au kuidhalilisha Taasisi yake husika. Ni suala tu la Mtu binafsi hilo isipokuwa Wewe tatizo lako huwa unapenda mno kukurupuka kutaka kunijibu na nilidhani zile dozi mbili tatu nilizokupa huko nyuma zilikunyoosha na kukufundisha kitu.
Nahisi huwa una matatizo ya akili. Kama huna matatizo ya akili basi una tabia Fulani hivi ya kujiona unajua kila kitu na wanachojua wenzio na mawazo yao huwa unayaona ni ujinga. Ni hatari sana kuishi na MTU mwenye Tabia hizo.
 
61d15c6b12a87568fbc18b7c1a207426.jpg
Acheni tu sio kwa pozi hilo
 
Hapa kuna tatizo, unaweza ukakutana na binti ama mke wa mtu wengi huwa hawasemi kama ni wanafunzi au wameolewa sababu kuu huwa ni za kiuchumi(umaskini), inawezekana askari alikuwa hajui kama ni mwanafunzi.
Hiyo habari umeisoma kweli ?
 
Nahisi huwa una matatizo ya akili. Kama huna matatizo ya akili basi una tabia Fulani hivi ya kujiona unajua kila kitu na wanachojua wenzio na mawazo yao huwa unayaona ni ujinga. Ni hatari sana kuishi na MTU mwenye Tabia hizo.

Sasa hupendi na unachukia Mimi kuwa Knowledgeable na Informed kuliko Wewe Mkuu? Hata Mimi sikupenda kuwa hivi na sijui ni kwanini Mwenyezi Mungu alinibariki Mimi hivi na akakuacha Wewe na huo ' upupu ' wako. Tatizo la akili nililonalo ni kwamba zipo nyingi hadi zinaniboa! Je nikupunguzie kidogo Mkuu na Wewe ukubalike hasa Kihoja?
 
Kawaida yao askari na madereva hasa hasa wa boda boda
Lakini kwa madereva wa boda boda pia tufikirie mazingira tunayo waacha mabinti zetu pia, mtoto anaondoka nyumbani asubuhi tena bila hata kunywa chai, shule yenyewe ya kata iko umbali wa kilometa tatu/nne, atembee kwa miguu. Mchana akitoka shule tena anarudi kwa miguu. Akimpata boda boda wa kumpa lift tena na chips soda juu, amlipe nini?
 
Back
Top Bottom