Recent content by Catch-22

  1. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Kusomesha na kufundisha nani yu sahihi?

    Binafsi, ninatumia kufundisha na kusomesha kama walivyoeleza wataalamu wa Kiswahili wa huko TBC. Nikirudi kwenye suali lako sasa, ninakumbuka kusema "leo tumesomeshwa uadilifu" kwa mfano, nilipokuwa shule ya msingi na sekondari yake, sikuwa nikitumia nimejifunza. Kwa ufahamu wangu, kujifunza...
  2. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Picture of The Day....Udaku Special Owner

    Makubwa!
  3. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Hoja: Kiapo cha Bunge Kinahitaji mabadiliko.

    Mungu atolewe kwenye kiapo. Hahusiki kwenye shughuli za serikali na wala kwenye uwajibikaji wa mbunge
  4. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Madudu na uoza katika Serikali ya Zanzibar

    Mkuu wa Kamati katisha.....kawataja live Mama Fatma Karume, Amina Aman Karume na Mansour Yussuf Himid Way to go
  5. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

    Watanzania kwa nini hatuheshimu waliokufa? Si adabu hata kidogo kiwasasambua hizi
  6. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Sawa...
  7. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Alaa?!
  8. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Salama sana....tupo tunatetea haki kwa kukalia mifuko ya simenti kidogo
  9. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Huo mto au mfuko wa simenti? :disapointed:
  10. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Huu msemo au sijui niite methali, Bwana Ruta. nimewahi kuwasikia wahenga wakiutumia kwa kurejela wahusika wawili tu, "Mla ndizi [mtupa maganda] na mtupiwa maganda" Au huu msemo wa leo wewe ndio "original source"? *Tupo katika kuelimishana lugha ya taifa tu
  11. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

    Nchi ya majnun
  12. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Mwanangu na Binti Yangu

    Mwana linamaana ya mtoto, haijalishi kama ni wa kiume au wa kike. Kamusi la Kiswahili linaainisha hivyo. Kimsingi mwana linahistoria ndefu ya kutumika kwenye majina ya watoto wa kike kama Mwanaasha, Mwanamtama,Mwanakheri,Mwanaidi, Mwantatu, na kadhalika na kadhalika
  13. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Mtu anaekula ndizi ndie huwa na maganda ambayo anaweza kuyatupa. Kwa hiyo mla ndizi ndo mtupa maganda. Huyu husahau kuwa alikula na kutupa maganda. Anaetupiwa maganda ndie hasahau kwa sababu ganda hilo alilotupiwa huenda limemkwaza kwa kumtofoa jicho na kumpa chongo, kwa kuvunjika mguu baada ya...
  14. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Huo ubongo au pudding hadi kutikisika wenyewe!
  15. Catch-22

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Si "mtupa maganda" bali "mtupiwa maganda" Kimantiki mla ndizi na mtupa maganda ni huyo huyo mmoja
Back
Top Bottom