Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

umeleweka kama mlandizi ndiye aliyeimenya hiyo ndizi lakini kama ilimenywa na mwingineo yule aliyeimenya ndiya aliyatupa maganda..............na mwenzie kuimung'unya...........................lol

Huu msemo au sijui niite methali, Bwana Ruta. nimewahi kuwasikia wahenga wakiutumia kwa kurejela wahusika wawili tu, "Mla ndizi [mtupa maganda] na mtupiwa maganda"

Au huu msemo wa leo wewe ndio "original source"?

*Tupo katika kuelimishana lugha ya taifa tu
 
hii habari nikipeleka kama uonavyo ujumbe utavurugika............inabidi mlandizi awe mwingine na mtupa maganda awe mwingne ndipo ujumbe utafika...................vinginevyo shairi litaota mbawa.............nijuavyo ni kama nilvyolonga labda ipo misemo miwili inayoshahibiana
 
Back
Top Bottom