Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Nimeangalia sura zao wanaonekana kama wote ni ndugu!
Pia kwa kuwa wote mpaka muda huu hakuna mtu aliyewatambua hata moja, inawezekana waliuliwa mbali na maeneo ya Arusha, wakaja kutelekezwa maeneo ya chekereni!

So sad!
 
Mkuu labda kama una ndugu zako maeneo hayo wananchi hawataki kabisa kuongelea swala hili hasa wasipo kufahamu watajua mpelelezi.....



Kiongozi kauli yako imekamilika!
Kwani yeyote niliyetaka kumwuliza ki2 km hicho alionekana kama kushangaa na hata kuondoka kimya kimya ila pale nilipofikia huachi kuwaona raia ktk makundi ya mtu 5 mpk hapa 8 wakiwa ktk minong'ono ya hapa na pale!

Ila hakika hizi vifo imesikitisha sana mtaa huu na inaonekana bado miili ya marehemu haijatambulika mpk hv sasa!

Na walaaniwe wote wale waliohusika kwa namna moja ama nyingi!

Rest In Peace marehemu!
 
Watu watano ni watu wengi kuuwawa kwa mara moja. Inteligensia yangu ndogo najenga theory kwamba vijana hawa wameuwawa na wamiliki wa mashamba huko Arumeru ili iwe tishio kwa wengine wote watakao jaribu kuvamia mashamba yao. Mauaji haya ni well planned and overseen by proffesional executioner.
 
MODS hizi picha tafadhali.Sidhani kama ni sahii kuwa kubandikwa hapa kwa hali hiyo
 
Ndugu wanajf hivi karibuni kulikuwepo uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mash uchaguz ambao ulimalizika na mgombea wa chadema kuibuka mshindi lakini kabla ya uchaguz kulikuwepo taarifa ya vijana wa chadema kutekwa na watu wasiofahamika leo hii maiti watano wamepatikana kando kando ya barabara ya arush to moshi je inaweza kuwa ni wale vijana wa chadema waliodaiwa kutekwa?
 
Ni mambo ya siasa za ushindani matokeo yake ndiyo hiyo, duh??????????????????????????????????????????????????
Mungu ilaze roho za makamanda mahali pema peponi
 
Kibaya na cha kusikitisha zaidi ni kwamba mpaka sasa hakuna hata mtu moja aliyetambuliwa kati ya hao marehemu wanne.
Watu wametokea chekereni maeneo ambayo miili ilikutwa, bado hawajawatambua.

Inasikitisha sana
Watu watano ni watu wengi kuuwawa kwa mara moja. Inteligensia yangu ndogo najenga theory kwamba vijana hawa wameuwawa na wamiliki wa mashamba huko Arumeru ili iwe tishio kwa wengine wote watakao jaribu kuvamia mashamba yao. Mauaji haya ni well planned and overseen by proffesional executioner.
 
Dah! Inatisha sana....Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
 
Kuna tetesi ya kuwa mauwaji hayo yana weza kuhusishwa na vurugu za za juzi za kugombea mashamba.....
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.

 
Back
Top Bottom