Recent content by calvingyan

  1. C

    Usiweke Pesa nyingi kwenye A/C yako ya akiba ya simu ya mkononi si salama hata kidogo.

    Yaaani tigo ndio wezi wakubwa makaburu wale.......!!
  2. C

    Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

    Eti anamlipizia wema....teeh teeeh malipizo mengine bana.....
  3. C

    Msanii Rich one mbaroni kwa utapeli kwa kutumia jina la Ali Kiba

    Jamani nimemsahau huyo rich one...mwenye picha yake tafadhali...
  4. C

    Kesi ya Lulu inaendeleaje?

    Nimefurahi kuona tumbo linazidi kukua vizuri...!!!
  5. C

    Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

    Naona kama mamluki...wacha tutafute profile zao...!!!
  6. C

    Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

    Ndio akina nani hawa mbona sura mpya kabisa wakilishi wetu??? Julio wa wapi???
  7. C

    Nimeibiwa kwenye account yangu ya benki?

    Crdb sio benk kabisa sikuhizi...mimi nilitumiwa pesa kutoka nje ya nchi, ikawa imekosewa namba moja ya akaunt ila information nyingine zote sana, huwezi amini ile hela ilikaa takriban wiki moja wameihold, sasa sijui waliiweka akaunt gani manake kwangu haikuingia na wala hawaku irudisha ilipotoka...
  8. C

    List love story movie nzuri za njee ulizo ziona!

    Wedding Planner-starring J LO Obsession-starring Beyonce
  9. C

    Kipanya leo!!

    Saaaanaaaaa......!!! Namkubali....!!!
  10. C

    Antivirus vol. 3-Vinega waendeleza bifu na Ruge

    Unajua bana hata wakati vyama vipya vya siasa vimeanza ccm hawakushtuka...ila sasa wanajuta wanachokiona..mimi nalifananisha hili na clouds....mnasema vinega wavuta bang nk lakini radio kama times fm ndio wale wanaowadhamini na kuwaweka hewani mara kwa mara, na hata redio nyingine zina piga...
  11. C

    Dr. Christine Gabriel Ishengoma cv

    So that is profile
  12. C

    Mtangazaji wa radio au TV

    Radio Milad Ayo~anajua anachofanya afu hapendi kuiga Tv Samadu Hassan yuko star tv....anajua kuzichambua habari za kimataifa afu anasauti ya kitofauti
  13. C

    Ray the greatest na tamko rasmi la kuhusu kuhusishwa na kifo cha kanumba

    Na hilo limange yeye linataka nini???? Manake yeye ndio alieanza kumuandika RAY kwenye hiyo blog yake......!!!
Back
Top Bottom