Ray the greatest na tamko rasmi la kuhusu kuhusishwa na kifo cha kanumba

Kumsingizia mtu katika swala nyeti kama hili si sahihi kabisa...lakini kesi si iko mahakamani na uchunguzi unaendelea tusubiri tuone.
 
huu msiba usije tu ukasababisha watu wengine wakajiua kwa kusingiziwa kumuua Kanumba,Ray anatia huruma,Mwacheni jamani kaka wa watu.
 
Ni upuuzi tu Ray kuongelea maswala haya hasa ukizingatia kesi ipo mahakamani. Mi naona Kama vile yeye ndo anataka public imzungumze!!
 
Aaaaah! Barua Ndefu Kama Hii. Kwa kukukuruka na camera yako hadi unatamani usimamie nywele ili upate picha dramatic zaidi za mwili wa marehemu 'swahiba' wako na kuumalizia usiku huo wa tukio kwenye laptop yako kuzianika picha hizo mitandaoni kulionesha either your head isn't screwed on right or ulijawa na furaha ilioje kwamba your biggest rival is gone.
Kwangu mie Ray ni pathetic, sadist and a sorry excuse for an actor.
Haya nenda kapige mikelele yako kwenye maigizo yako unayoyaita muvi. Yuk!
 
big up ray tumekuelewa
ila umejifunza kitu nakumbuka mlishare johari mkaja aunt then lulu ndiyo bifu zinapoanzia labda ushauri wangu kwako
ni kuoa.
 
Ni upuuzi tu Ray kuongelea maswala haya hasa ukizingatia kesi ipo mahakamani. Mi naona Kama vile yeye ndo anataka public imzungumze!!
Na hilo limange yeye linataka nini???? Manake yeye ndio alieanza kumuandika RAY kwenye hiyo blog yake......!!!
 
umeongea point tupu!

Aaaaah! Barua Ndefu Kama Hii. Kwa kukukuruka na camera yako hadi unatamani usimamie nywele ili upate picha dramatic zaidi za mwili wa marehemu 'swahiba' wako na kuumalizia usiku huo wa tukio kwenye laptop yako kuzianika picha hizo mitandaoni kulionesha either your head isn't screwed on right or ulijawa na furaha ilioje kwamba your biggest rival is gone.
Kwangu mie Ray ni pathetic, sadist and a sorry excuse for an actor.
Haya nenda kapige mikelele yako kwenye maigizo yako unayoyaita muvi. Yuk!
 
Hapakua na haja ya kuzungumzia yote hayo anataka iwe stor sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom