Dr. Christine Gabriel Ishengoma cv

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1555.jpg
First Name: Dr. Christine
Middle Name: Gabriel
Last Name:Ishengoma
Member Type:Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: P. O. Box 3009, Morogoro
Office Phone: +255 23 261 4442/+255 784 369191/+255 754 337770
Ext.:
Office Fax: +255 23 260 2144
Office E-mail: cishengoma@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 21 June 1953
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Nyakanyanja Primary SchoolPrimary Education19611964PRIMARY
Ihembe/Nyaishozi Primary SchoolPrimary Education19651967PRIMARY
Bukoba Secondary SchoolO-level Education19681971SECONDARY
Sokoine University Of AgricultureBSc (Agriculture)19801982GRADUATE
Sokoine University Of AgricultureMSc (Agricultural)19891991MASTERS DEGREE
Sokoine University Of AgriculturePhD (Agriculture)19931998PHD
Firenze-Italy-19991999CERTIFICATE
Ministry of Agriculture Training Institute, Uyole (MATI Uyole)Diploma (Agriculture)19771978DIPLOMA
Ministry of Agriculture Training Institute, Ilonga(MATI Ilonga)Diploma (Agriculture)19721974DIPLOMA
Oljoro- JKT19751975CERTIFICATE
Sokoine University Of Agriculture Computer & Enterpreneurship19891991CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament Of TanzaniaMember- Special Seat20072015
Ruvuma RegionRegional Commissioner20062010
Sokoine University of Agriculture, SUALecturer20002006
Ministry of AgricultureAgricultural Officer (Coordinator)19832000
Ministry of AgricultureLecturer - MATI (Uyole)19781979
Ministry of AgricultureLecturer - MATI19741976
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of UWT20072010
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember19772010
PUBLICATIONS
Description Date
Dr. Christine Ishengoma: Role of Women in Household Food Security, Sokoine University of Agriculture (SUA).1998
Dr. Christine Ishengoma: Food Security as a Measure for Poverty Alleviation, Sokoine University of Agriculture (SUA).1998
Dr. Christine Ishengoma: Prevalence of Child Malnutrition in Tanzania, Sokoine University of Agriculture (SUA).1992

Ni kweli kwamba alisoma diploma mara mbili?? au mara ya kwanza alisoma certificate pale MATI Ilonga alafu akaenda kuongeza kwanza kitabu MATI Uyole kwa ajili ya Diploma??
Mama kaanzia mbali jamani amepiga kitabu kwa muda mrefu sana.
Hongera sana.

Well kwenye mikoa aliyokuwa mkuu wa mkoa amesababisha maendeleo gani katika fani yake?
 
Kila nimsikiapo huwa nashangaa sana amefikaje hapo alipo?ana pumba hujawahi sikia.....kama huamini anza leo kumfuatilia....utakubaliana nami!!
 
Kila nimsikiapo huwa nashangaa sana amefikaje hapo alipo?ana pumba hujawahi sikia.....kama huamini anza leo kumfuatilia....utakubaliana nami!!

Ana pumba gani acha majungu mtoto wa kiume, huyu mama mimi nimefanya nae kazi, sio mtu wa blah blah na wala sio mtu wa kuropoka ovyo, ni msomi aliyejipanga na anajua anachokifanya, kwanza alibidi awepo kwenye baraza la mawaziri, muda mfupi aliokaa kibaha kapabadilisha kweli, songea nako alianza kupabadilisha kwa kilimo.
 
Maza katulia, kapiga kitabu kirefu ni PhD holder wa ukweli sio wale makanjanja wengine na wale wa ukweli. Nakubaliana na Sniper, kibaha kazi yake tumeiona, tunatumai na Iringa ataibadilisha. Wewe @Skills4Ever hata kama ni magwanda usiponde kila kitu kwa magamba
 
Mumewe ndio alikuwa meya wa manispaa ya moro kipindi kilichopita??? Anaitwa Prof ishengoma yuko Sua????
 
cjaelewaq hii mada imeanzishwa kwa sababu gani maanaq nilidhan hii cv inahusiana na issue fulani, i think we are not in forumsw to discuss people CV without a connection to any issue!
 
Mimi sijaelewa kwenye hiyo CV vitu vifuatavyo:-
1. Kwa nini alisoma Diploa mbili moja ya Uyole (1972-74) na moja ya Ilonga (1977-1978).
2. Kipindi cha kusoma Bsc Agriculture kimafanana na cha kusoma Msc Agriculture ambapo ni miaka mi 3

Mtoa thread naomba maelezo sahihi
 
elimu nzuri anaishia kujpokea wageni na mbio za mwenge... amekaa pwani sijaona hata kuinuka kwa kilimo mkoa wa pwani

sorry!! certificates may not always lead to a better product
 
Mumewe ndio alikuwa meya wa manispaa ya moro kipindi kilichopita??? Anaitwa Prof ishengoma yuko Sua????
naye alijifanya kukimbizana na mkewe akata kugombea ubunge wa moro humo2 ccm walimpiga chini vibaya so amekosa vyote umeya na ubunge
 
Hao wanaosema kapabadirisha kibaha, kwa lipi, naomba evidence ya maeneo, huyu ilibidi akawe bibi shamba c kukaka ofisini bali kwenda field kwa wanakijiji kuwapa mbinu za kilimo.
 
Back
Top Bottom