Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Deo Filikunjombe! "Alitaka Kuwa Padiri", "Ni Mgonjwa wa ...!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,453
113,462
Wanabodi,

Naomba kwanza nikiri, sijawahi hata siku moja kutune in Clouds Radio kumsikiliza Diva!, Nilikuwa namuona kama mtangazaji ma..ya fulani, ambaye analegeza sauti yake kiwizi wizi ili kukuza mtaji wa biashara yake ya kuuza mw.li!.

Leo baada ya kusikia ataongea na jembe, Deo Filikunjombe kwa mara ya kwanza nimestop kila kitu na kutune in!.

Haya ni yale ambayo hutukuyajua kuhusu Mhe. Deo Filikunjombe.

Kumbe

  • Alitaka kuwa padiri ili kutumikia watu! tatizo kumbe ni "Deo the Lover!.
  • Alipata jiko alipotembelea Ngorongoro kuangalia wanyama!
  • Ni mgojwa na Nywele ndefu na kucha!.
  • Mkewe ni binti wa Kimasai!.
  • Ana watoto watatu tuu na wote ni vidume!.
  • Kumbe alikuwa mtangazaji wa Radio One!.
  • Jina lake la zamani Deo Haule!. Yaani yule mtangazaji Deo Haule kumbe sasa ndie Filikunjombe!.
  • Ana sauti yenye bonge la punch!, alimfunika mbaya Diva!.
  • Hakutegemea kuwa mwanasiasa!, japo baba yake alikuwa kiongozi wa Tanu na baadae CCM!.
  • Alisoma Chuo Kikuu cha Makerere!.
Mnaweza kuisikia iterwiew ypte kwa kutembelea Millad Ayo!.

My Take.
Kumbe hivi vipindi ambavyo sisi wengine tiumekuwa tukividharau kama vya kipuuzi puuzi na kuwaona watangazaji wake ni wajinga wajinga kama Kibonde, kumbe mara moja vina contents that makes sense!.

Hongera Clouds, Hongera Diva, Hongera Deo Filikunjombe for being open!.

Pasco.
 
Mkuu Pasco unataka kuniambia hukuwahi kujua kuwa Deo Filikunjombe alikuwa Mtangazaji RADIO 1 kwa jina la Deo (Hauli) sio Haule?
 
hajabadilisha jina,still anaitwa Deo filikunjombe Haule ndo jina lake in full mkuu pasco,usiogope! kwa kipangwa haule inaweza pia kutamkwa(hauli)
 
Wanabodi,

Naomba kwanza nikiri, sijawahi hata siku moja kutune in Clouds Radio kumsikiliza Diva!, Nilikuwa namuona kama mtangazaji ma..ya fulani, ambaye analegeza sauti yake kiwizi wizi ili kukuza mtaji wa biashara yake ya kuuza mw.li!.

Leo baada ya kusikia ataongea na jembe, Deo Filikunjombe kwa mara ya kwanza nimestop kila kitu na kutune in!.

Haya ni yale ambayo hutukuyajua kuhusu Mhe. Deo Filikunjombe.

Kumbe

  • Alitaka kuwa padiri ili kutumikia watu! tatizo kumbe ni "Deo the Lover!.
  • Alipata jiko alipotembelea Ngorongoro kuangalia wanyama!
  • Ni mgojwa na Nywele ndefu na kucha!.
  • Mkewe ni binti wa Kimasai!.
  • Ana watoto watatu tuu na wote ni vidume!.
  • Kumbe alikuwa mtangazaji wa Radio One!.
  • Jina lake la zamani Deo Haule!. Yaani yule mtangazaji Deo Haule kumbe sasa ndie Filikunjombe!.
  • Ana sauti yenye bonge la punch!, alimfunika mbaya Diva!.
  • Hakutegemea kuwa mwanasiasa!, japo baba yake alikuwa kiongozi wa Tanu na baadae CCM!.
  • Alisoma Chuo Kikuu cha Makerere!.
Mnaweza kuisikia interwiew yote kwa kutembelea Millad Ayo!.

My Take.
Kumbe hivi vipindi ambavyo sisi wengine tiumekuwa tukividharau kama vya kipuuzi puuzi na kuwaona watangazaji wake ni wajinga wajinga kama Kibonde, kumbe mara moja vina contents that makes sense!.

Hongera Clouds, Hongera Diva, Hongera Deo Filikunjombe for being open!.

Pasco.

Ni hakika, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana, nimeumizwa na msiba huu!.

RIP Deo Filikunjombe!.

Pasco
 
Back
Top Bottom