Kesi ya Lulu inaendeleaje?

Upelelezi haujakamilika. so amerudi segerea, lulu anatetewa na mawakili watatu.
 
Kwa walioona picha ya Lulu akitoka mahakamani, sijui ni macho yangu au anaonekana mjamzito tena tumbo linaonyesha kabisa japo kavaa dira.

mbona nimekwambia joyceline kuwa kanumba labda katuachia mpwa! kaona asituache wapweke bila COPY YAKE! NAOMBA TU SERIKALI YA JK ISICHAKACHUE HATA KIJACHO! MAANA HII SIREKALI YETU!! MMMHH LONG LIVE OUR PRESIDAR!
 
guys twende mbele turud nyuma hakuna binadamu aliekamilika na kamwe usimtukane mamba kabla hujavuka mto jaman huyu binti keshajifunnza tena mnoo na hii ni mpango wa mungu wa yeye kuwa binti mwenye busara na adabu kumbuken lulu sio yeye tu ndo anakosa hilo kkuna watoto weng saana bt hawaonekan coz they are nt star so guys yan "dont judge a person unless u av walked a miles in his or her moccassin"
 
tutafika lini tuendako??????
 
Mi huyu mtoto kanichosha sana acha dunia imfunze,mtoto alikuwa anaambiwa anaona anabaniwa so acheni watu waongee wanavyoweza,we unayesema kajifunza unamjua lizy unamchezea? aachiwe now utazickia nyodo zake kwn media hako kanajiona kenyewe ndio kenyewe. na kilicharuka vibaya na ni funzo kwa wasichana wote wadogo wenye tabia km z lizy,wakubwa wakiwakanya mambo mabaya muyaache!
 
hvi we una mtoto kweli?
 
we senetor usiniulize maswali kama umetoka kulala ndio nina mtoto shida yako? nasema ukweli wa moyo wangu kama watu tulikuwa tunapiga kelele lizy unapokwenda cpo ye ndio kwanza hasikii kii la mtu so unataka nimpongeze kwa aliyokuwa anayafanya mpaka yakamkuta?usiku huo wa manane alitakiwa awe kwao kwa wazazi wake na si kwa mwanaume,nyie ndio mnafanya watoto wanakuwa na kufikia hatua ya lulu. kama wazazi wangechukua jukumu lao asingefika alipofika leo. we ulitaka nisemeje hovyooo
 
lulu anaonekana coz ni celebrite lakin wangap wapo mitaan na wanamatukio kama haya bana kweli nakubali asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu ila nyie mnaojifanya mna hasira kali yawezekana hata watoto wenu wanawashinda vilevile kwan mtasema basii.ila hata kama amekosa kumtolea maneno makali wala haisaidii chochote hata yeye anajuta vilevile usiegemee upande mmoja eti kisa hajatulia. Hajawi waza kuwa kuna siku atafungwa wala ataua mtu kama mnavyomhukumu ukweli anaujua mungu , marehemu na yeye n hakuna kifo bila sababu. Kila mtu kaguswa na kifo cha the great sema ndo mana kuna sheria so atapata anachostahil
 
Mawakili wanaomtetea Lulu waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa(Lulu) kuwa miaka 17 na si 18 wakisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi jiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17.
Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.

source: GLOBAL PUBLISHER
BREAKING NEWSS; MAHAKAMA YAKATAA OMBI LA LULU MICHAEL | MPEKUZI
 
Nimefurahi kuona tumbo linazidi kukua vizuri...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom