Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

bongo ka vile imekula kwetu wakuu?
 
Uganda...Jannette and Kyle (friends???)

Kabinti bado kadogo dogo sana!!

Hahahahahahah...wanachekesha hawa waganda!!
 
Ndio akina nani hawa mbona sura mpya kabisa wakilishi wetu??? Julio wa wapi???
 
Zambian coule Tamarra and Tala (girls)

Wanavutia sana hawa watoto....Kuna mmoja kaacha minyonyo nje kama kichaa!!
 
watz bwana jamaa kaja na kifimbo sijui cha kuchapia wenzake,wakati yule mshiriki wa Ghana kaja na mfuko akidai atabebea hiyo midola.
 
Zimbabwe.....Maneta and Tecla

Wa kawaida sana!!
 
Mods hebu unganisheni hizi threads za BBA maana zimekuwa nyingi kweli sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom