Msanii Rich one mbaroni kwa utapeli kwa kutumia jina la Ali Kiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii Rich one mbaroni kwa utapeli kwa kutumia jina la Ali Kiba

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mtengwa, Apr 30, 2012.

 1. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,738
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Msanii x-member wa kundi la Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali.

  Msanii huyo anadaiwa ku divert namba ya Ali Kiba na kupokea simu za mapromota mbali mbali na kukubaliana kufanya show na kupokea advance kwa kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya show promota anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali Kiba.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Akichezesha taya na watoto wa maghorofani aka mjengoni manager wa alikiba frank gonga aka frank machozi alisema kwamba wamemkamata msanii huyo kwa kutumia namba ya alikiba ku_book show na kutafuna mikwanja kwasasa yupo ubaoni akisubiri kupelekwa kwa pilato.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa alishafulia siku nyingi sana!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  jamaa nimemkubali sana mbunifu kinoma.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,029
  Likes Received: 8,478
  Trophy Points: 280
  souce: clouds fm
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,793
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  si utani ni kweli mshkaj kapiag iyo issue, ivi hawa wanamziki hawapatagi kipato cha kuwatosha au tamaa tu?
   
 7. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mapromota gani washamba hivyo waache wapigwe bwana..Wasanii walivyo wasumbufu unawalipa kwa Mpesa bila hata kuandikishana mkataba hivi watu wengine wanaishi dunia gani ?
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Swali, vipi amedivert number za Ali Kiba, how is it possible?
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,291
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Kama watu wana-burn CD halafu wanamuziki walalama,mbona nae kama ame-burn vile issue za mwenzake vile.
   
 10. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,567
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  it is possible kupitia mawakala wa tigo, na hasa unapo kuwa hutunzi namba yako ya siri kwenye tigo pesa
   
 11. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  huyu ndie aliyem2kana mkubwa fela baada kutoka tmk pole zake ss akaimbe ile nyimbo yk 2napokuwa maskani masela ha2na ki2 sisiiii
   
 12. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​nampongeza sana mbona mapromota nao wanawanyonya kwa sana?
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,806
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  maisha yanabana-wasanii wanaringa wakiwa juu-then wakshuka hata hela ya maji wanakosa
   
 14. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Tanzania tulifanya kosa tangu tulipotengeneza jina la matapeli kuwa WASANII! Sasa wasanii wanganya usanii ule tulioutambua kama jina mbadala la usanii HALISI
   
 15. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,416
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikuwa anahojiwa na XXL Clouds FM leo
   
 16. serio

  serio JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,388
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  maisha ya wasanii nayo jamani....... full kuunga unga
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  huyo promota mjinga. hivi hakukua na maandalizi kabla ya show?. hamna kitu kama hicho.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Huyo Riche One ana ujanja wa kizamani huwezi kufanya utaperi kwa kutumia simu yako..njaa mbaya.
   
 19. c

  calvingyan Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimemsahau huyo rich one...mwenye picha yake tafadhali...
   
Loading...