Recent content by CalvinD

  1. CalvinD

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Wakuu natanguliza salama Naombeni msaada wa namna ya kuipata account yangu ya Efootball, niliibiwa simu na baada ya kupata simu mpya nimejaribu ku link ile email ya Konami lakini imekataa Sasa mwenye ujuzi wa kunisaidia tafadhali naomba msaada wenu.
  2. CalvinD

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vitambulisho vya NIDA havidumu, vinawahi kufutika

    Niliskia wanasema kikifutika unarudisha kinachapwa upya mkii
  3. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Ulikutana na kituko gani ugenini

    Kigeto geto nilienda kwa msela wangu nikakuta anajifunika shuka la MSD
  4. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

    Badala ya kulaani, ungesema shida yako usaidiwe au zama pm
  5. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Je, umeme wako (units za luku) unaisha sana? Zingatia yafuatayo

    Samahani mkuu Kwa meter zinazoanza na 54 tunacheki vp ulaji wake?
  6. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

    Aisee najuta na ayo magodoro
  7. CalvinD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

    Nakuelewa Mkuu, na mimi nipo na shetani langu hapa, lina talent ya kunifanya nikasirike muda wote
  8. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Je hawa walipona?

    Not guilty untill proven
  9. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

    Ukiwa mboga mboga lazima uwe zezeta na zuzu, yaani matatizo ya kukosekana umeme, sukari, ajira n.k ni vitu ambavyo tunapitia wananchi wote lakin cha ajabu popoma moja linakejeli wanaopaza sauti juu ya ayo matatizo
  10. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Simu "copy" ina maana gani?

    Features zake zinakua tofauti na simu Original? I mean operational.
  11. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

    Fungua tu mkuu Wateja wako kibao tu, ila fungua kifichoni
  12. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

    Kifo cha lady lyana mormont katika ile vita ya white walkers
  13. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Tunabadilisha vioo vya tv

    Mkuu mbona unakurupuka kutoa taarifa, hujataja location, price, wala brand gani mnabadilisha
  14. CalvinD

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Geez mabovu rip Abby skillz Cpwaa. Rip.
  15. CalvinD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado ni kama ndoto, mpaka sasa ni miezi 10 tu tangu nimpoteze Mama yangu

    Ni miezi mitatu sasa toka nimpoteze mwanangu, my handsome boy nilietegemea angekuja kunisaidia uzeeni, he left me at such young age . Sometimes nahisi nakufa taratibu day after day
Back
Top Bottom