eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ukitaka maelekezo ya kutosha mtag Selikavu au kama unatumia Telegram tumia link naiweka hapo chini kujiunga.

Ikiwa utajiunga telegram hakikisha unaenda settings kuficha taarifa zako kabla hujajiunga kwenye group.

Kama huna telegram pakua kwanza VPN ya 1.1.1.1 ambayo itakusaidia kupata verification code kwa urahisi wakati unajiunga.

Sawa, ngoja nikachukue hiyo tgram
 
1775313109141.jpg
Ivo vichwa saivi nitaenda kuwatesa sanaaaa 😂🔥
 
Wakuu natanguliza salama
Naombeni msaada wa namna ya kuipata account yangu ya Efootball, niliibiwa simu na baada ya kupata simu mpya nimejaribu ku link ile email ya Konami lakini imekataa
Sasa mwenye ujuzi wa kunisaidia tafadhali naomba msaada wenu.
 
Konami hawawezi kukubagua yan wote tunaolink account zikubali ila wakatae kwako tu?

Kuna sehem utakua uliwapa password zako either Recover password kama unadetail zote...
 
Wakuu natanguliza salama
Naombeni msaada wa namna ya kuipata account yangu ya Efootball, niliibiwa simu na baada ya kupata simu mpya nimejaribu ku link ile email ya Konami lakini imekataa
Sasa mwenye ujuzi wa kunisaidia tafadhali naomba msaada wenu.
Hukutoa password kwa mtu mwingine?

Kama hukutoa muone Selikavu huyu ni hacker 😂🙌
 
Back
Top Bottom