Recent content by butogwa

  1. B

    KENYA: "Sisi siyo ombaomba" | Ni maneno ya kweli au maneno ya mkosaji?!

    Hata mm nilimshangaa sana huyo jamaa ktk mahojiano kati yake na kikekee, mwizi na ombaomba nani salama? Wamesahau miaka kadhaa ya nyuma walitumia sana mlima wetu k'manjaro kujipatia watalii wengi! Ziara ilikuwa ni ya rais wa marekani haikuwa ziara ya obama!
  2. B

    Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

    Muheshimiwa rais ninafuraha kubwa kuchagua kuja Tanzania karibu sana.Je katika miradi ya nchi yako iliyopo tanzania ni kiwango gani cha wanawake Wa kitanzania waliopata ajira na kunufaika na miradi hiyo, na unamuahidi nini mwanamke wa tanzania kuondokana na hali duni ya maisha na huduma za...
  3. B

    kwa wale walioshinda na stress

    Hawa kweli kawashindwa yesu na mtume umewambia wamwage nyongo' hadi wengine wamejenga mnara wa babeli,majanga ya bajeti noma?
  4. B

    Ushauri kwa serikali kuhusu mashirika ya hifadhi za jamii

    Habari wana JF wote' ili kuongeza ajira kwa serikali na kuongeza wateja kwa mashirika haya naomba selikali ijitoe kukopesha wanachuo badala yake itumie pesa hizo kutoa ajira. mashirika haya yawajibike kusomesha ili kuwa na uhakika wa kupata wateja badala ya kuitegemea selikali. makato ya gharama...
  5. B

    Tumsaidieje huyu? ana D 3

    Kama ni binti mtafutie coz za NABE zitamsaidia badae kujoin diploma kwa mvulana mpeleke veta achukue umeme then ajoin ualimu Wa veta muhonda.
  6. B

    Babu wa samonge apewe nishani ya heshima.

    Huo ni mtazamo na upeo wa kuelewa,Bt majibu sahihi yako samonge.
  7. B

    Babu wa samonge apewe nishani ya heshima.

    Hi wana JF! Kama ilivyo desturi yetu watanzania huwa hatuachi kupongezana hasa pale panapoonekana kuna jambo zuri limefanyika. Wengi mtakubaliana na mimi kuwa babu ni mjasiliamali alieibadilisha samonge na kuitangaza loliondo duniani kwa muda mfupi,babu amesababisha kushughulikiwa huduma muhimu...
  8. B

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Alykum salam! Hongera sana, unaweza ongeza hair saloon, min supermarket na ka0grocery kama imani yako inaruhusu hivi pia vinaweza leta wateja.
  9. B

    vioja vya makonda wa daladala jijini Dar

    Kama vile ume log in face book! yaani huwa na enjy sana hasa mwisho wa mwezi.
  10. B

    Tanzania "Education Management Information System"

    Hongera kwa kuliona tatizo, tembelea shule za binafsi na za mashirika ya dini zinazofanya vizuri kitaaluma utapata mbinu mpya zilizoboreshwa ktk uendeshaji. Pia unaweza watembelea. Tahosa na haki elimu hawa nao wanazo takwimu zenye uhakika kujibu maswali yako.
  11. B

    Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

    Du! Kwani ubebe utatogilwe a bape?
  12. B

    Somo la usafi lifundishwe

    Nakelwa sana na baadhi ya wanafunzi na wanavyuo kushindwa kutunza usafi ktk taasisi hizo. Kwa mfano: utumiaji wa vyoo ktk hali ya usafi,uharibifu wa mabweni, hostels,madarasa na samani zilizomo. Na imani wakielimishwa tutaokoa afya zao na watastaarabika.
  13. B

    Watoto wa siku hizi wakikusalimia umeumia..!!

    Wamerithi kwa wazazi wao' wale wanigaie book jero na dear nitumie voucher nimeishiwa salio!!
  14. B

    Taarab.....

    Wizara husika ya maadili iliangalie hilo nalo na hasa lugha na maneno wanayotumia kwenye tungo za mistari yao.hongera sana kuliona hilo!
Back
Top Bottom