figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia