Babu wa samonge apewe nishani ya heshima. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu wa samonge apewe nishani ya heshima.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by butogwa, Jan 29, 2012.

 1. b

  butogwa Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hi wana JF! Kama ilivyo desturi yetu watanzania huwa hatuachi kupongezana hasa pale panapoonekana kuna jambo zuri limefanyika. Wengi mtakubaliana na mimi kuwa babu ni mjasiliamali alieibadilisha samonge na kuitangaza loliondo duniani kwa muda mfupi,babu amesababisha kushughulikiwa huduma muhimu kijamii kama vile umeme,maji,huduma za afya, mawasiliano na barabara. Ni vema wajasiliamali tuwe wabunifu kwa kuiga mfano wa babu ili tuharakishe maendeleo ktk maeneo yetu.
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nishani aliyopewa hapo ni hipi? Crap
   
 3. b

  butogwa Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huo ni mtazamo na upeo wa kuelewa,Bt majibu sahihi yako samonge.
   
Loading...