Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
1. Mtanzania aliyefungwa guantanamo cuba haki yake itapatikana lini??
 
1. Mtanzania aliyefungwa guantanamo cuba haki yake itapatikana lini??

Tusijidanganye hakuna MWANDISHI wetu wa HABARI yoyote MWENYE UBAVU na UPEO wa kumwuliza Rais OBAMA Swali kuhusu Sera za Nje za Marekani au Sera za Tanzania kuhusu UPINZANI NCHINI...

Matatizo ni Mengi ila Waandishi wetu ni wale wenye MRENGO wa ISSA MICHUZI ndio baba ndio baba; Hawafanyi kazi hiyo ya UANDISHI KUNUSURU na KUJENGA SECTA ya MAWASILIANO NCHINI ila Wanaitumia kama KITEGA UCHUMI CHAO kuwa MATAJIRI kwa KUSIFIA UONGOZI; KUFICHA MAKOSA ya VIONGOZI ili tu kupata VIPODOZI wakipata SAFARI ZA NJE...

*** Ukiangalia TRIP ya RAIS OBAMA atakuwa na Waandishi wa Habari SIO YEYE atakayewachagua au OFISI yake bali ni CHOMBO HURU CHA WAANDISHI wa HABARI AMBACHO kitateua waandishi watakao kuwe EMBEDED WITH Mr. PRESIDENT

Watakuwa Wapinzani wa Pande zote Central; Left; Right; Supporters wa Pande zote Central; Left; Right

Kila Mmarekani wapatao 300Million watapata habari Transparent na isiyo na uzito wa Upande Mmoja...

--- Sisi tunapewa Michuzi ndie Mpinga Picha na pia Mleta habari... tunalundikiziwa UJINGA tunazidi kubaki na UJINGA Unable to Question; Unable to differentiate....
 
mheshimiwa rais tunashukuru kwa ujio wako tz pia kwa misaada mingi ya nchi yako hasa ktk sekta ya afya-swali langu ni hil hivi ile memorundum 2000 on Depopulation of third world countries ya mwaka 74/75 iliyosainiwa na bwana Kisinger imefutwa?maana ufadhiri wenu katika uzaz wa mpango na ukimwi unatutisha
 
kwa nini unatetea ushoga na wewe unapumuliwa kisogoni nini?
if its yes, who then do it?
 
If i would i could.....Suala la malaria,kupitia USAID,je ni sahihi kushupalia matumizi sahihi ya vyandalua,au kuzuia mazalia ya mbu??
 
swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? na kwanini umechagua tanzania na si kenya katika ziara yako?
 
kwanini anahis anamaadui weng kiasi cha kutembea na ulinz mkali kama FARAO.kwanin wanamtenga urus ktk G8 meetings
 
prez obama unampango gani na madini yatu ya uranium ukizingatia nchi yako inatolea macho hayo madini kokote yalipo duniani
 
Umefuata nini Tanzania,?umeruka dunia ya kwanza,ya pili mpaka dunia ya tatu kunani hapa tz?naomba useme ukeli Mungu anakuona.
 
Selekali ya malekani inatumia hela nyingi sana kutoa misaada katika nchi zinazoendelea.Je selekali yako inampango gani kuwasaidia wananchi wamalekani wasio na makazi maalumu na wanaish katika umaskin au unauchungu na Dunia ya tatu sana kuliko wanachi wamalekani?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Muheshimiwa rais ninafuraha kubwa kuchagua kuja Tanzania karibu sana.Je katika miradi ya nchi yako iliyopo tanzania ni kiwango gani cha wanawake Wa kitanzania waliopata ajira na kunufaika na miradi hiyo, na unamuahidi nini mwanamke wa tanzania kuondokana na hali duni ya maisha na huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu na nk inayomkabiri akiwa mmbeba mzigo mzito wa familia? Na je nchi yako inampango gani na wa muda gani kwa kijana wa kitanzania nchi ambayo ina utajiri mwingi katika nchi chache dunianini iliaweze kuwa na uhakika wa Elimu bora, ajira nzuri, makazi bora na heshima duniani kama walivyo vijana katika nchi yako?
 
swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? Je wakati unaingia madarakani mara ya kwanza na hasa mkutano wako uliofanya Ujerumani ulisema amani inapatikana si kwa njia ya vita bali maongezi mbona sioku hizi wewe ndiye unapenda vita na sasa Waziri wako wa mambo ya nje amekomalia kuwasaidia waasi wa Syria kuingamiza nchi bila kujali vifo vya watoto na akina mama?



swali la kwanza ni linini nchi yako itaacha kuegemea upande wa israel na kusaidia wapalestina kupata taifa huru, ni kwann marekani inaingilia kwenye mambo ya nchi za kiarabu? na kwanini umechagua tanzania na si kenya katika ziara yako?
 
kwa nini unatetea ushoga na wewe unapumuliwa kisogoni nini?
if its yes, who then do it?

Kutetea Mashoga kwao ni HAKI kama vile tunavyotetea NDOA ya zaidi ya MKE MMOJA aa Baadhi ya Wanawake wetu kuvaa nguo kufunika Nywele zao...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom