ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Loh tayari mbona tangu saa kumi saivi nna amani! Bajeti ilinichanganya mno walevi tumezidi kukamuliwa vimkoko vyetu navyo road license juu petrol nayo tutachangia sh 50 kwa litre kwa ajili ya umeme vijijini
hii ilipatwa kunenwa na alhaji rage ..kuwa tutakula hii nchi na mwisho wake tutakulana wenyewe..