Somo la usafi lifundishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somo la usafi lifundishwe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by butogwa, Dec 5, 2011.

 1. b

  butogwa Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakelwa sana na baadhi ya wanafunzi na wanavyuo kushindwa kutunza usafi ktk taasisi hizo. Kwa mfano: utumiaji wa vyoo ktk hali ya usafi,uharibifu wa mabweni, hostels,madarasa na samani zilizomo. Na imani wakielimishwa tutaokoa afya zao na watastaarabika.
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,632
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  sisi tuliofundishwa Sayansi-kimu na Maarifa ya Nyumbani mambo yetu safi tu,tunafahamu kubrashi viatu,kutengeneza mswaki wa mti,kuondoa madoa kwenye nguo kwa kutumia limao,kushona kwa mikono n.k. Big up Mwl.Christina!
   
 3. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubalina na wewe asilimia mia mbili na hamsini! block nayokaa! especially wing yetu ni balaa tupu! kuna wanavyuo walevi ambao wmwgeuza masinki ya kuswakia kuwa spesho for kukojolea! aisee inakera! wengine mabafu wamegeuza vyoo! mimi naona itabidi kozi ya usafi ianzishwe vyuoni aiseeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...