Recent content by BUROFELO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi JWTZ zatangazwa

    Vipi waliopata kwenda na kufanya usaili walishaitwa ??
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuhimili lawama mbalimbali kutoka kwa ndugu?

    Kweli muda mwingine ina kera sana suala la kuombwa pesa. Kabla hujalaumu fanya jiulize kwa nn wanaokuomba wasimuombe mwingine isipo kuwa wewe ?? Tunafunzwa mali kuweka mikononi ili tuweze kutoa sana kwa ndugu na asie ndugu japo n binadamu mwenye uhitaji kuwa mkwel na muwazi tu... Ukiwa nacho toa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ulimwengu wa tetesi tu..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Angalia vzr conversation wewe mie ndo nilie tukanwa alafu wanambia nae matusi mind u bro...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Stupidity is not a crime your free to go
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Poa ... once you chase a crazy in the street, all in a motion might have associate behavior Your a winner i am a loser
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kama ipo Ipooo .... it pain but we have to take it as how it is... that is what we term as bureaucratic cumbersome.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Karibu sana kidogo ww huwa una point na taarifa nzur endelea kutupatia sio waongo na wenye matusi tu na kauli za kukatishana tamaa... tuwapuuze Kama ipo.. ipo tu. Doesn't matter at what time.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ni kweli wamerudishwa pia hata 822 kj wameridi nadhani dili lishabuma rasmi kwa sababu hii mtajulishwa ni noma
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri Kuingia JKT

    Dah ndo bongo hii jaman tuwe na subira tu. Japo inaboa sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kucheki watumishi hewa linafaa liwe suala endelevu na sio la mwezi mmoja au miwili hivo linavozuia mambo mengine yanayoihusu jamii kama sio sawa hivi rejea wahitimu wa udaktari,, unesi,,ualimu,,jkt,,,na sasa hawa vijana tena wa jkt na wa kada zingine wote wamejazana mtaani bila issue maalum na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tarehe moja ndo hioo no updates jaman..... Hii ndo Tanzania....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kuna walio ingia tayar kambi za 822,, 824 na 825 na hawajarudi hadi leo.. vp huko washaanza kozi ama wanasubiria wenzao mwenye taarifa juu ya hao atujuze aiseee....
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tulikua tunahisia labda huenda sababu ni baadhi ya mikoa haijamaliza sasa yote tayari,,, budget nayo tarehe moja ndo hio mmmh.... mikataba nayo sijui itaanza kuhesabika tukiwa nyumbani....kweli huu mchezo hauhitaji hasira tuzidi kuwa wavumilivu..
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Jaman siku chache zilizopita habari za uongo hapa zilikua zimepungua sasa zimeanza tena .. watu wanasema tu na kutoa taarifa zisizo sahihi. Jaman tupeane updates zilizo sahihi tu.
Back
Top Bottom